Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Ackson achukua fomu ya Ubunge Mbeya Mjini kupitia CCM. Asindikizwa na mumewe

Ukiwa na Jicho Kali na lililotukuka kabisa la Kisaikolojia ukimuangalia huyo Mumewe hapo nyuma utagundua kuwa ' anapelekeshwa ' hadi Huruma.
Huu ni uhalisia na hio ilikua inajulikana tangu wakati betina anafundisha udsm
 
Hatimaye Siku Tuliyoisubiri imewadia Mhe Mbunge Wa Mbeya 2020-2025 Na Naibu Spika Dkt Tulia Kachukua fomu ya Kugombea ubunge kilichobakia tunasubiri kuapishwa kwake mjengoni mwezi wa kumi na 11.

"Bi Tukinao" ni mtu aliyebebwa kuanzia chuo mpaka unaibu wa spika.
Amemkufuru Mungu kwa kulia mbele ya jeneza lisilo na mtu ndani na kwa mila za kinyakyusa na kindali mu huyo hafai kabisa, ni mtu wa kafara maisha yake yote.

Huyu bibi "handsome" anapoteza muda na ni mkatili, hatuwezi wakilishwa na wauu wa namna hii, never!
 
Mnajitahidi sana kupotosha lakini nikuhakikishie mimi kama mwenyeji na mkazi wa Mbeya Sugu anashinda mchana kweupe, CCM haina wapiga kura huku labda angalau pale Sinde na Ilolo.

Halafu we jamaa una jina zuri ila mambo yako ya kiboya sana, badili ID kwa ajili ya kulinda heshima ya jina
Jidanganye ww na huyo Sugu tafuteni dili lingine
 
Hauifahamu Mbeya wewe punguani wa ccm..

Unafikiri Mbeya mjini ni pakuiba-iba kura kama mnavyokwiba sehemu nyingine..

Ngoja utaona huyu BETINA atakavyogaragazwa na SUGU na hakuna hata kura moja mtakayoweza kuiba..

Chama Cha Majizi..CCM.
Sugu hapiti na wala hatumtaki, tumechoka kuongozwa na watu wasio soma, kazi kupigana bungeni. Mbeya maendeleo yamesimama hakuna sababu ya siasa za wana harakati. Mbeya mkitaka maendeleo chagueni CCM, wapinzani mtabaki hivyo hivyo miaka yote miradi yote mtakua mnaisikia na kuona kwenye TV
 
We uko mvuti hapo unajifanya mkazi wa mbeya

Ova
 
Mkuu nadhani utajua mwisho wa ngwe hii uone Mbeya ya sasa.

Hauifahamu Mbeya wewe punguani wa ccm..

Unafikiri Mbeya mjini ni pakuiba-iba kura kama mnavyokwiba sehemu nyingine..

Ngoja utaona huyu BETINA atakavyogaragazwa na SUGU na hakuna hata kura moja mtakayoweza kuiba..

Chama Cha Majizi..CCM.
 
Kazunguka mbuyuuu
Kaingia katoka
Kaenda karudi
Mara kijani Mara nyekundu Mara blue
Kumbe target yake ilikuwa mbeya mjini

Ova
hahahahaaa . . .eti wanatuletea sanaa kuwa bodaboda ndio waliomchangia? Upuuzi kabisa na kwa sugu ataisoma namba tena iliyonyooka
 
Back
Top Bottom