mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,738
- 35,155
Hata wewe ni mwanasiasa haramu
Kama ninavyokuona wewe gaidi🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe ni mwanasiasa haramu
Tatizo dogo sana Ethiopia na Tanzania kuna ugumu wa kutoa passport kwa raia wake utasikia lete kwanza barua ya mwaliko ya huko uendako. MTU hana lakini anajua kuwa Africa kusini kuna fursa anaona aende kutafuta fursa. Anajilipua kusafiri kwenda bila passport. njiani ndio anadakwa. wa kwetu pia wengi hudakwa njiani na Africa ya kusini kwa kuwemo bila passport na kurudishwa nchiniHao Waethiopia wakopita kuna tatizo gani?
Roho mbaya tu inakusumbua.
Sio kidogo ajira Tanzania hazipo mtu anaamua kwenda Africa Kusini kutafuta maisha anaomba passport unamnyima kisa hana barua ya mwaliko toka lini fursa ikaandika barua ya mwaliko kuwa njoo nchi hii kuna fursa? kijana anaamua aende hivyo hivyo kwa kuhonga honga njiani akisafiri mazingira magumu yawezayo letelezea hata kifo chake. Mungu si Athumani anafanikiwa kufika Africa Kusini anajifanyia shughuli halali kabisa za kumwingizia kipatoTanzania yenu inavituko sana
Usalama wa nani?wako au politicians wanaokupangia wewe maisha yako?Europe ukiwa raia wa nchi yeyote pale unavuka borders zile kwa urahisi kabisa sasa wewe ingia msumbiji na passport ya kitanzania angalia unavyoangaliwa maana tayari mmigrations na customs officer's wanajua mjomba amebeba cocaineNa usalama unamuhusu nani
Ccm umetuharibia middle class wetu,borders hizi zinanisaidia nini?mabeberu kwao hakuna upuuzi huu,ingia pale Tunduma border post na DRC passport ndio utajutia why why tuna uchafu huuBogus
Naomba nimshukuru Mungu kwa uteuzi mzurii na pia iukupongeza kwa uteuzi bora kabisa
Tunaamini kuwa na wewe mipaka yetu itakuwa salama zaidi
Binafsi nahuzunika sana kuonaa kila siku ati Mbeya Morogoro nk wamekamata Waethiopia wasio na vibali
Mama yetu haya mamboo yalisahaulika kabisa huko nyuma yameanza tena, kupitishwa kwa watu toka nje wasio na vibali hawa Immigration wanahusika
Wakati muafaka sasa kuamini kama.wanapita bila vibali mipaka yetu haiko salama tena
Tunaomba mfuatilie na mtoe mfano kama nilivyoona waethipia wamekamatwa mbeya
Hawa hawajaja na ndege mpakaa wanakamatwa wamekutana na hawa jamaa Immigration/polisi pale boda na wakapita bila vibali
Wakati muafakaa sasa kudili na wahusika wanaowapitisha hawa Waethiopia nk na je wana nia gan nanchi yetu?
KAENI NA BOSS MKUU WA IMMIGRATION FUATILIENI CHENI NZIMA WALIOHUSIKA NA MPAKA BODA WALIZOPITA UKWRLI MTAWEKA HEESHIMA IKIWEZEKANA PELEKENI MAHAKAMANI FUNGENI KABISA HAWA NI WAHUNI WANAOPITISHA WATU BODA BILA VIBALI
Mwisho nawatakia kazi njema na Mungu awatangulie
Hakuna nchi duniani unaweza kupita kienyeji tu kama mnyama wa Serengeti aingiavyo Maasai Mara Kenya mkuu. Ikiwa wanawwza kupita, pia wanaweza kubaki na kufanya uhalifuDuuuh sasa hao wahabeshi si wanaenda Sauzi? Inakuuma nini mkuu
Hawana passport utawapa permit vipi? Serikali yao ya Ethiopia wanoko sana kuwapa passport watu wao kama tulivyo sisi TanzaniaWapewe permit tu na kuendelea na maisha
Kama ni riziki tutagawana badala ya kuwafanya kama criminals
Watu wamepita kwenye misukosuko kwao halafu hapa napo wanakamatwa hata chakula shida na walizokuwa nazo zinapigwa na kesi juu
Kumbukeni hao ni ndugu zetu na Africa ni moja
Kama wanaenda kwa Nini wakamatwe na kuwatesa kwa magereza badala ya kuwalisha kwao?Duuuh sasa hao wahabeshi si wanaenda Sauzi? Inakuuma nini mkuu
Tena mnawapa' one week transit viza charge' waendelee mbele.. hata Malawi, Mozambique or Zim wenyewe pia hawahangaiki nao sana kupoteza limited resources za serikali, ni kuwaachia waendelee mbele kwa mbele hadi SA watajihusisha...n most of times wanapokewa katika wakimbizi na hata ndo wamekuwa ' machinga' na wafanyabishara wadogo SA na ndo maana siku zote, target yao ni South tu....Hata Mimi hushangaa Kama wanapita Bila kulipa watozwe mala mbili unawakamatia mbeya kwengine kote wamepita Kama madhara tayari wamesha fanya
Dawa ni kuwatoza chaji ya transit tuigeuze fursa si ndio farsafa ya uchumi Changa Moto ni fursa ikitumika vizuri
Yaani Tz passport, ambayo ni haki ya msingi kwa kila mwananchi kuwa nayo inakuwa kama ' hisani' .......siasa hizi za ' kikomunisti' zimetuchelewesha sana aiseee....Hawana passport utawapa permit vipi? Serikali yao ya Ethiopia wanoko sana kuwapa passport watu wao kama tulivyo sisi Tanzania
Huwezi kuta wakenya au waganda au wanya Rwanda au warundi au wanigeria nk wengi wanaokamatwaa Africa Kusini hawana passport. wengi wanaodakwa ni Watanzania na Waetheopia na uhamiaji kule wanajua
Ukiwa mjanja utakosaje passport? Hili ni jembeYaani Tz passport, ambayo ni haki ya msingi kwa kila mwananchi kuwa nayo inakuwa kama ' hisani' .......siasa hizi za ' kikomunisti' zimetuchelewesha sana aiseee....
Hapo hata mtu akiamua kuukana uraia wake sioni chakumlaumu.Sio kidogo ajira Tanzania hazipo mtu anaamua kwenda Africa Kusini kutafuta maisha anaomba passport unamnyima kisa hana barua ya mwaliko toka lini fursa ikaandika barua ya mwaliko kuwa njoo nchi hii kuna fursa? kijana anaamua aende hivyo hivyo kwa kuhonga honga njiani akisafiri mazingira magumu yawezayo letelezea hata kifo chake. Mungu si Athumani anafanikiwa kufika Africa Kusini anajifanyia shughuli halali kabisa za kumwingizia kipato
Siku unapita msako Anadakwa hana passport anarudishwa Tanzania unamdaka Airport na kumpeleka mahakamani kwa kosa la kusafiri bila passport! !!!! ! ! Very interesting
Haitakiwi kuwa hivyo Watu wengine wacha Mungu hawataki uovuUkiwa mjanja utakosaje passport?
Tanzania belong to TanzaniansMkuu bado umezama kwenye mipaka tulioachiwa na mabeberu?futa hii so called mipaka na Africa belongs to Africans
Chuki tu za kipuuzi Wabongo nuksi 😁Duuuh sasa hao wahabeshi si wanaenda Sauzi? Inakuuma nini mkuu
Wa mipakaUsalama wa nani?wako au politicians wanaokupangia wewe maisha yako?Europe ukiwa raia wa nchi yeyote pale unavuka borders zile kwa urahisi kabisa sasa wewe ingia msumbiji na passport ya kitanzania angalia unavyoangaliwa maana tayari mmigrations na customs officer's wanajua mjomba amebeba cocaine
Wengine husema ni warundi kisa tu ugumu wa kupata passportHahahahaaaa.. yaani inaishia watz wengine wakikamatwa huku SA wakiwa hawana passport,husema wao ni kutoka Rwanda na wanamkimbia PK......ili kupata ukimbizi. ... yaani shida aiseee...