Dkt. Slaa Ziarani: Ukaguzi, uhai na ujenzi wa chama Dar Es Salaam

Tumaini Makene

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
2,642
6,070
Akitokea Bukoba leo asubuhi, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Willibrod Slaa ameanza ziara ya ukaguzi wa uhai na ujenzi wa chama katika majimbo manne ya Temeke, Kigamboni, Ilala na Kinondoni. Leo amenzia Temeke na kesho atakuwa Kigamboni, kisha Novemba 29 Ilala na Novemba 30 Kinondoni.

Katika ziara hiyo ambayo inahusisha vikao vya ndani, Katibu Mkuu atakutana na wajumbe wa mkutano mkuu wa Jimbo/ Wilaya kwa kila eneo husika kwa mujibu wa kifungu 7.4.5 cha Katiba ya CHADEMA.
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1353864459.173567.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1353864459.173567.jpg
    16 KB · Views: 665
  • ImageUploadedByJamiiForums1353864492.974981.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1353864492.974981.jpg
    16.2 KB · Views: 609
  • ImageUploadedByJamiiForums1353864523.758606.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1353864523.758606.jpg
    16.5 KB · Views: 457
  • ImageUploadedByJamiiForums1353864580.136937.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1353864580.136937.jpg
    16.1 KB · Views: 797
  • ImageUploadedByJamiiForums1353864716.484442.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1353864716.484442.jpg
    15.3 KB · Views: 433
  • ImageUploadedByJamiiForums1353864789.467609.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1353864789.467609.jpg
    13.7 KB · Views: 481
Kwa mwendo huu ni lazima Kinana asalimu amri.Hakika Dr Slaa ni mwiba mkali kwa CCM
 
Dr Slaa, pole sana na kazi, hakika kazi yako inaonekana. Nilikuwa sielewi ulivyosema hata usipopata urais kwako ni sawa maana utakwenda kuimarisha chama.

Nimeelewa nini maana ya katibu mkuu.
 
WAJUA JK BUSARA ZA KUWATAKA POLICCM KTOWAZUIA CHADEMA RIL INAWAGHARIMU CCM. UYU KATIBU WETU DOKTA SLAA WA UKWELI NI STRATEGIST WA HATARI, HUU NI MKUKI KT NYOYO ZA MAGAMBA, KILA ANAPOENDA ANAIZIKA CCM, WKT MWENZIE JANGILI ANASTRATEGIZE PIA NAMNA YA KUWAUA TEMBO NA FARU NA KUIBa PEMBE, PIA KADAI PEMBE ZA FARU ZINA DILI SANA HONGKONG
 
Dr Slaa, pole sana na kazi, hakika kazi yako inaonekana. Nilikuwa sielewi ulivyosema hata usipopata urais kwako ni sawa maana utakwenda kuimarisha chama.

Nimeelewa nini maana ya katibu mkuu.

Hakika kazi anayokifanyia chama ni ya kutukuka.Hebu mfananishe na makatibu wa vyama vingine
 
AHH MAKATIBU WENGINE WAMELALA WA PONO, WANASUBIL RUZUKU WKT WA UCHAGUZ, LKN WA CCM MJANJA KWANI YUKO BIZE AKIUA TEMBO ARUSHA NA KUWANG'OA MENO, MAKUBWa
 
Rais wangu apumzishwe, naibu katibu mkuu hawezi kufanya kazi nyingine za ujenzi wa chama?
 
- Yaani Slaaa anaenda kuwaagua hawa watu watano ndio analipwa Shillingi Millioni 12 kwa mwezi? Hela za kodi ya wananchi mnazichoma kama zimeokotwa vile? Kweli unaendaje kukagua matawi ya wananchi watano ona kwenye picha mlizoleta wenyewe!! Ama kweli ukishngaa ya Musa utaona mengine!!

LE Mutuz!!
 
Daa yani wewe msanii wa filamu umepiga picha unapo pataka ndio umeileta ,weka yote sio nusu! Mbona wewe ukipiga picha na wakina wema pamoja unatumwa na chama chako sisi tunaiweka yote na wakina wema,aunt ezekiel na wewe huwa mnao onekana vizuri na hakuna anaye wakata? Yan kwasababu ni Dr wa ukweli umeona ulete nusu!

- Yaani Slaaa anaenda kuwaagua hawa watu watano ndio analipwa Shillingi Millioni 12 kwa mwezi? Hela za kodi ya wananchi mnazichoma kama zimeokotwa vile? Kweli unaendaje kukagua matawi ya wananchi watano ona kwenye picha mlizoleta wenyewe!! Ama kweli ukishngaa ya Musa utaona mengine!!

LE Mutuz!!
 
Hakika lazima kinana achanganyikiwe! Big up dr na bado mapaka kinana ata jiuzulu!
 
- Yaani Slaaa anaenda kuwaagua hawa watu watano ndio analipwa Shillingi Millioni 12 kwa mwezi? Hela za kodi ya wananchi mnazichoma kama zimeokotwa vile? Kweli unaendaje kukagua matawi ya wananchi watano ona kwenye picha mlizoleta wenyewe!! Ama kweli ukishngaa ya Musa utaona mengine!!

LE Mutuz!!

Mi sikuelewi eti wewe ni mtoto wa Anne Kilango Malecela nini mbona huna hoja kama yeye we unaleta mzaha kwenye mambo ya msingi huku ukijua huo sio mkutano wa hadhara kwa kweli ninashaka na uelewa wako pamoja na elimu yako ila Unaaibisha sana familia ya mzee mwenye heshima tz kama Mzee Samweli Malecela

Ila natambua ndo maana nchi ina matatizo kwa kuwapa watoto wa vigogo vilaza kama wewe kuongoza lazima nchi iwe na matatizo
 
[

Mzee wetu mstaafu anayo hasara kama hawa ndiyo warithi wake. Tunashukuru kuwa hapa si India. Tungeula wa chuya. Ungelikuwa mtu makini ungestahili kujibiwa. Wapo wana CCM wakijenga hoja unalazimika kujibu...jitahidi walau uwakaribie hao. Utakuwa umejisaidia sana.
 
- Yaani Slaaa anaenda kuwaagua hawa watu watano ndio analipwa Shillingi Millioni 12 kwa mwezi? Hela za kodi ya wananchi mnazichoma kama zimeokotwa vile? Kweli unaendaje kukagua matawi ya wananchi watano ona kwenye picha mlizoleta wenyewe!! Ama kweli ukishngaa ya Musa utaona mengine!!

LE Mutuz!!

[

Mzee wetu mstaafu anayo hasara kama hawa ndiyo warithi wake. Tunashukuru kuwa hapa si India. Tungeula wa chuya. Ungelikuwa mtu makini ungestahili kujibiwa. Wapo wana CCM wakijenga hoja unalazimika kujibu...jitahidi walau uwakaribie hao. Utakuwa umejisaidia sana.
 
- Yaani Slaaa anaenda kuwaagua hawa watu watano ndio analipwa Shillingi Millioni 12 kwa mwezi? Hela za kodi ya wananchi mnazichoma kama zimeokotwa vile? Kweli unaendaje kukagua matawi ya wananchi watano ona kwenye picha mlizoleta wenyewe!! Ama kweli ukishngaa ya Musa utaona mengine!!

LE Mutuz!!

attachment.php

Le Mutuz; kweli akili yako inaonyesha kwa nini huko CCM. Na hao hapo juu ni watu watano? Lakini kwa kuwa ni Kijana na unashabikia CCM, sishangai sana akili yako ni ya namna gani. Like father like son
 
jamani mwacheni mtani wangu -- lazima achungulie ajue CDM wanafanya nini, maana wote safu nzima ni copy na ku paste, mgombea wao wa urais 2015 ameenda kinyume na ilani ila hakuna atakayemuuliza -- kwa hiyo na jamaa yetu alikuwa anachungulia tu na kashakimbia.
 
- Yaani Slaaa anaenda kuwaagua hawa watu watano ndio analipwa Shillingi Millioni 12 kwa mwezi? Hela za kodi ya wananchi mnazichoma kama zimeokotwa vile? Kweli unaendaje kukagua matawi ya wananchi watano ona kwenye picha mlizoleta wenyewe!! Ama kweli ukishngaa ya Musa utaona mengine!!

LE Mutuz!!

Slaaphobia!
 
Back
Top Bottom