Tumaini Makene
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 2,642
- 6,071
Akitokea Bukoba leo asubuhi, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Willibrod Slaa ameanza ziara ya ukaguzi wa uhai na ujenzi wa chama katika majimbo manne ya Temeke, Kigamboni, Ilala na Kinondoni. Leo amenzia Temeke na kesho atakuwa Kigamboni, kisha Novemba 29 Ilala na Novemba 30 Kinondoni.
Katika ziara hiyo ambayo inahusisha vikao vya ndani, Katibu Mkuu atakutana na wajumbe wa mkutano mkuu wa Jimbo/ Wilaya kwa kila eneo husika kwa mujibu wa kifungu 7.4.5 cha Katiba ya CHADEMA.
Katika ziara hiyo ambayo inahusisha vikao vya ndani, Katibu Mkuu atakutana na wajumbe wa mkutano mkuu wa Jimbo/ Wilaya kwa kila eneo husika kwa mujibu wa kifungu 7.4.5 cha Katiba ya CHADEMA.
Attachments
-
ImageUploadedByJamiiForums1353864459.173567.jpg16 KB · Views: 665
-
ImageUploadedByJamiiForums1353864492.974981.jpg16.2 KB · Views: 609
-
ImageUploadedByJamiiForums1353864523.758606.jpg16.5 KB · Views: 457
-
ImageUploadedByJamiiForums1353864580.136937.jpg16.1 KB · Views: 797
-
ImageUploadedByJamiiForums1353864716.484442.jpg15.3 KB · Views: 433
-
ImageUploadedByJamiiForums1353864789.467609.jpg13.7 KB · Views: 481