Dkt. Slaa Ziarani: Ukaguzi, uhai na ujenzi wa chama Dar Es Salaam

Nimemuona m/kiti wa mkoa wa Kinondoni Mhe. John Mnyika hapo, kwanini na yeye anahusika? ni mjumbe au ni mualikwa? kwasababu tumeambiwa ni mkutano mkuu wa jimbo... Ufafanuzi Tafadhali bwana Makene

Sasa unataka hapo Tumaini Makene ajibu kitu gani wakatibumeuliza swali na ukalijibu hapo hapo, hata mualikwa ni muhimu akawa anahusika, ukishaalikwa unakuwa mjumbe mualikwa au siyo Kilimanjaro moja.
 
Back
Top Bottom