Dkt. Slaa Uhuru wa kufanya Siasa umerudi, una hoja yakusimama jukwaani?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Dkt. Slaa alikimbia mapambano kwa ahadi ya Ubalozi. Alipofika huko akaacha kukemea maovu na kubariki kila kilichofanywa na mteule wake. Nadhani aliamini mapambano ya haki yasingewezekana tena, aliamini mijadala huru haitakuwepo Tena.

Leo tunajiuliza anaweza kujirudi nakuhubiri yanayokinzana na Yale aliyoaminisha watu tena?

Je, anaamini Kwamba waliosema njaa ni ugonjwa wa muda mfupi walikuwa sahihi?

Wakina Warioba, Butiku, Msekwa ni baadhi ya wanachama watiifu wa CCM walioweza kuhifadhi hadhi zao pale waliposhuhudia yasiyofaa yakifanyika.
 
Mwachani babu wa watu apumzike sababu ya kuachana na siasa inajulikana.

Yeye alijua wanafanya siasa ili nchi yetu iende katika muelekeo sahihi kumbe alikuwa amezungukwa na matapeli wa kisiasa wazee wa kuchenji gia angani.

Na laana aliyomuachia Mbowe na Chadema yake sijui kama watafanikiwa tena.
 
Laana anayo yeye kahongwa visenti plus ubalozi,utawala uliojaa mauaji n damu ni laana,ndio mana wabunge wenu waligombea maiti arusha
 
Dkt. Slaa alikimbia mapambano kwa ahadi ya Ubalozi. Alipofika huko akaacha kukemea maovu na kubariki kila kilichofanywa na mteule wake. Nadhani aliamini mapambano ya haki yasingewezekana tena, aliamini mijadala huru haitakuwepo Tena.

Leo tunajiuliza anaweza kujirudi nakuhubiri yanayokinzana na Yale aliyoaminisha watu tena?

Je, anaamini Kwamba waliosema njaa ni ugonjwa wa muda mfupi walikuwa sahihi?

Wakina Warioba, Butiku, Msekwa ni baadhi ya wanachama watiifu wa CCM walioweza kuhifadhi hadhi zao pale waliposhuhudia yasiyofaa yakifanyika.

Kwani Mchumba wake anasemaje.
 
Mi naona una msingizia Dr Slaa. Haku kimbia kwa ahadi ya ubalozi.

Leo kweli unajifanya umesahau kilicho mtoa Dr Slaa CHADEMA kweli?

Unajifanya kusahau mlichofanya 2015?

Mlipiga kelele Lowasa ni fisadi wee mpaka alipokuwa anagombea nafasi ya uraisi CCM.

Alipo kosa tu, mkabadili gia angani na kumwita shujaa. Mkampa na mamlaka ya kugombea uraisi.

Hicho ndicho kilicho mtoa Dr Slaa. Msitake kubadilisha historia. Bado tuna kumbuka.
 
Mwachani babu wa watu apumzike sababu ya kuachana na siasa inajulikana.

Yeye alijua wanafanya siasa ili nchi yetu iende katika muelekeo sahihi kumbe alikuwa amezungukwa na matapeli wa kisiasa wazee wa kuchenji gia angani.

Na laana aliyomuachia Mbowe na Chadema yake sijui kama watafanikiwa tena.
Yeye ndio ana LAANA ya kulisaliti Kanisa Mke na Watoto
 
Mwachani babu wa watu apumzike sababu ya kuachana na siasa inajulikana.

Yeye alijua wanafanya siasa ili nchi yetu iende katika muelekeo sahihi kumbe alikuwa amezungukwa na matapeli wa kisiasa wazee wa kuchenji gia angani.

Na laana aliyomuachia Mbowe na Chadema yake sijui kama watafanikiwa tena.
Mbona alikubali kutumika na maharuni shetwaan
 
Dkt. Slaa alikimbia mapambano kwa ahadi ya Ubalozi. Alipofika huko akaacha kukemea maovu na kubariki kila kilichofanywa na mteule wake. Nadhani aliamini mapambano ya haki yasingewezekana tena, aliamini mijadala huru haitakuwepo Tena.

Leo tunajiuliza anaweza kujirudi nakuhubiri yanayokinzana na Yale aliyoaminisha watu tena?

Je, anaamini Kwamba waliosema njaa ni ugonjwa wa muda mfupi walikuwa sahihi?

Wakina Warioba, Butiku, Msekwa ni baadhi ya wanachama watiifu wa CCM walioweza kuhifadhi hadhi zao pale waliposhuhudia yasiyofaa yakifanyika.
Ajiandae kustaafu siasa amejimaliza mwenyewe maana kuna vijana wameshaapishwa kuwa mabalozi. Mmoja ya watu wanaotakiwa kuru nahisi nae yumo.

Na akirudi Hana forum ndani ya CCM na huko alikokimbia Hana forum. Ajizeekee tu alee wajukuu sasa.
 
Mlichobakiwa nacho nyinyi CDM ni chuki na majungu tu

DK Slaa aliondoka CDM mwenyewe kwa hiyari yake ili ayaachie nafasi yale mafisadi ya kisiasa

Na kipindi anaondoka wala hakujua na hatahakufikiria kama atakua balozi ila waswahili wanasema Mungu hamtupi mja wake

Narudia tena muacheni mzee wa watu apumzike na kuendelea kujilia bata

Ile CDD muliyomuzia Lowasa DK Slaa ndio aliyoijenga alizunguka Tanzania nzima kujenga chama kwa muda wa miaka 5

Mungu si Athumani ile CDM aliyoijenga imeshakufa sasa jengeni CDM yenu tuone kama mnaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DR slaaa si tu alionyesha kwamba ni mwanasiasa mkomavu,bali alikuwa pia mwanaharakati wa kweli.

mara tu baada ya chama chake kukumbatia matapishi yake,akajiongeza.na kuamua kukaa pembeni,lakini kama ilivyo jpm hakutaka kumtupa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom