Dkt. Slaa: Sitta ni kielelezo cha mfumo uliooza, mlinda mafisadi na ufisadi

Samwel sita ni fisadi nyangumi wakati akiwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro mwaka 95 aliingiza bia nyingi nchini bila ya kulipiwa ushuru nchini na watu wa kilimanjaro wakawa wananyweshwa bure bia kama rushwa ili waichague ccm uyu jamaa hana usafi wwte
 
Hivi wewe Dr. Slaa unafahamu maana ya mnafiki? wewe ndie umekaa kinafiki zaidi iweje uyaseme leo? Kama ungekuwa mkweli ungeyatoa hadharani siku nyingi; habari ya Sitta na CCJ haina mshiko tena; umesahau unafiki wako? Kwa akili yako unafikiri ni nani atayekuamini zaidi ya wanachadema wenzako; hebu teuleze kati ya hayo mawili ulianza lipi ulianza kujivua upadri ukaingia kwenye zinaa au ulianza zinaa ukajitoa upadri, jiangalie kwenye kioo utajiona ni mnafiki wa kiasi.

Chama
Gongo la mboto DSM

Unaweza kuwa mzinzi lakin ukawa na uchungu na taifa lako kwa hyo swala la zinaa na utaifa ni vitu viwili tofauti na akuna mtu ambaye ependi zinaa, jipange tena ulete hoja yako vizuri
 
Kweli nimeamini UKIWA MWONGO Usiwe Msahaulifu, Sita kasahau uongo wake, kasahau uovu wake, Dr Slaa kamukumbusha, Jamani Sita kajimaliza kabisa sasa, Nyumba yako ikiwa ya kioo usitake ugomvi wa kurushiana mawe!
 
Ha ha ha nyumba yako ikiwa ya vyoo usitake ugomvi wa kupigana mawe
 
Mambo kama haya ndiyo maana yananifanya nizidi kuichukia siasa na wanasiasa wa Tanzania.

Hata hivyo shukrani za dhati kwa Dkt. Slaa kwa kutufungua matongotongo juu ya uchafu uliopo ndani ya siasa(Ubinafsi)

wanasiasa wetu ni wabinafsi wa hali ya juu. Hata dkt. Slaa naye pia ni mbinafsi kwa sababu imemchukua miaka miwili kutueleza ubinafsi alionao huyu kiumbe anayeitwa Samwel Sitta.

Kwa nini imechukua miaka miwili kuusema huu ubinafsi wa kiwango cha juu wa huyu kiumbe?.

Kwa nini bado uendelee kutoyasema na mengine machafu aliyonayo huyu kiumbe?.

Ama kweli siasa za Tanzania siyo kama ndivyo tuzijuavyo.
 
Hivi wewe Dr. Slaa unafahamu maana ya mnafiki? wewe ndie umekaa kinafiki zaidi iweje uyaseme leo? Kama ungekuwa mkweli ungeyatoa hadharani siku nyingi; habari ya Sitta na CCJ haina mshiko tena; umesahau unafiki wako? Kwa akili yako unafikiri ni nani atayekuamini zaidi ya wanachadema wenzako; hebu teuleze kati ya hayo mawili ulianza lipi ulianza kujivua upadri ukaingia kwenye zinaa au ulianza zinaa ukajitoa upadri, jiangalie kwenye kioo utajiona ni mnafiki wa kiasi.

Chama
Gongo la mboto DSM

Akili inafanana na Gongolamboto
 
Hii ...inaitwa la kuvunda halina ubani.....kwa dozz hii nzito kutoka kwa Dr......Naona 6 aliongea yale aliyoyasema baada ya kuona moto wa M4C...ni jambo ambalo yeye hakutegemea...kwamaana anaona M4C inafuta kabisa Ndoto zake za kuwa Raisi na mbaya zaidi hata uwaziri alionao ni kwamba baada ya 2015 nao unaota mbawa...sasa akikumbuka unafiki wake alioufanya na CHADEMA...akaona japo ajaribu kuwachafua bila ya kufikiri mara 2 matokeo yake yangekuwa kitu gani...Dr nae ameona wewe una mwaga mboga ngoja na sisi tumwage ugali kabisa.......kwa habari hiii Mr 6.....ukimaliza uwaziri wako tosha.....zile ndoto zako sasa basi hata kwa CCM wenzako mmhh cjui unatoka vipi hapo?
 
Hii inaitwa kata funua..kwa wale wanaosema Dr.Slaa kachelewa kuyasema, natofautiana nao kwasababu, ili chama au taasisi yoyote inayoamini katika kurekebisha watu, au kuwasoma watu kutokana na matendo yao,yawe ya wazi au ya siri ifanikiwe, inabidi kutunza siri kama hizo. CDM ingekuwa chama kisicho makini, tena cha hovyo kama wangetoa siri kama hiyo ya Sitta muda wowote kwa manufaa ya kujijenga kisiasa.Lakini kwa jinsi Sitta alivyoyakoroga mwenyewe, hapakuwa na njia yoyote ya kumjibu vema zaidi kama alivyojibiwa. Hili pia ni fundisho kwa wale wanaotaka kujiunga CDM (na hata vyama vingine) wakitanguliza maslahi yao binafsi kwanza.
 
Mimi nashangaa huyu mzee Sitta alikuwa anaruhusu mijadala ya kijingajinga bungeni, kukiponda chama chake,ilifikia hatua akisema .''hapo PATAMU,HAPO PAKUNOGA.WanaCCM ndio mujue SITTA HANAZAMANA bendera hufwata upepo,na muliona kama kaonewa,sasa mukae tayari kuvuna mulichopanda,mujue JK mvumilivu na anawavumilia hata wale wasio vumilika.usalama walishampa taarifa mapema,kln akawaambia mwacheni muda haujafika.
 
Baada umshukuru Dr kwa kukusaidia kujua mambo kiundani na ukweli we una laumu!

Ulitegemea zawadi gani apewe mtu anaye kashfu wenzie?

Nimshukuru kwa lipi kahabaN na mnafiki mkubwa huyo!!

Chama
Gongo la mboto DSM

Mimi naamini Mungu alipenda kumtumia Dr Slaa kwa namna anavyomtumia sasa kwa manufaa ya watanzania wote na si wakatoliki peke yao ambao wangefaidi karama aliyomtunukia.
Naona ulikuwa ni mpango thabiti wa Mungu kumtoa katika huduma ya upadri. Si muhimu kwetu kujadili Mungu alitumia njia ipi kumtoa huko alikokuwa na kumleta huku aliko sasa, la muhimu kwetu ni kuwa huku alikomleta karama aliyotunukiwa inatumika kwa ajili ya waja wa Mungu walio wengi zaidi ya wale aliowaacha kanisani. Biblia takatifu inasema "SHUKURUNI KWA KILA JAMBO" maana hatuwezi kuhoji hekima ya Mungu.
Mkuu Chama, unamkumbuka yule kipofu aliyeponywa na Yesu? ......Therefore some of the Pharisees said, “This Man is not from God, because He does not keep the Sabbath.” Others said, “How can a man who is a sinner do such signs?”And there was a division among them.
Yule kipofu aliwajibu “Whether He is a sinner or not I do not know. One thing I know: that though I was blind, now I see.”
Mambo mengine yanapotokea akili ya kibinadamu na pengine hata ya Dr Slaa mwenyewe haiwezi kuelewa.
 
Slaa we ndo fisadi mkubwa tueleze hela za kunywea bia kila siku unatoa wapi na pili kwann umemkopea mke uliyemuiba hela za chadema je chadema ni asasi ya kukopesha je ni kiasi gani umekuwa ukichukua kwa mgongo huo mara kwa mara
 
Hivi wewe Dr. Slaa unafahamu maana ya mnafiki? wewe ndie umekaa kinafiki zaidi iweje uyaseme leo? Kama ungekuwa mkweli ungeyatoa hadharani siku nyingi; habari ya Sitta na CCJ haina mshiko tena; umesahau unafiki wako? Kwa akili yako unafikiri ni nani atayekuamini zaidi ya wanachadema wenzako; hebu teuleze kati ya hayo mawili ulianza lipi ulianza kujivua upadri ukaingia kwenye zinaa au ulianza zinaa ukajitoa upadri, jiangalie kwenye kioo utajiona ni mnafiki wa kiasi.

Chama
Gongo la mboto DSM
Ukweli unauma lakini. Slaa alichokozwa na sita na ndo amemjibu. Sasa wewe kinachokuuma ni nini? Tumia elimu yako kujibu hoja. Slaa sio padri sasa hivi na alikwisha eleza namna alivyo ondoka kwenye upadri. Alifuata taratibu zoote za kanisa katoliki kuondoka katika upadri, sasa wewe kama ni mpumbafu ambaye hata akifundishwa haelewi basi pole.
 
Ulikuwa ni mmoja wa wale vijana wa altare wakati Slaa anahubiri neno? Tujuze inawezekana ......... ndiyo sababu kila kitu anachosema unashabikia

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mimi naamini Mungu alipenda kumtumia Dr Slaa kwa namna anavyomtumia sasa kwa manufaa ya watanzania wote na si wakatoliki peke yao ambao wangefaidi karama aliyomtunukia.
Naona ulikuwa ni mpango thabiti wa Mungu kumtoa katika huduma ya upadri. Si muhimu kwetu kujadili Mungu alitumia njia ipi kumtoa huko alikokuwa na kumleta huku aliko sasa, la muhimu kwetu ni kuwa huku alikomleta karama aliyotunukiwa inatumika kwa ajili ya waja wa Mungu walio wengi zaidi ya wale aliowaacha kanisani. Biblia takatifu inasema "SHUKURUNI KWA KILA JAMBO" maana hatuwezi kuhoji hekima ya Mungu.
Mkuu Chama, unamkumbuka yule kipofu aliyeponywa na Yesu? ......Therefore some of the Pharisees said, "This Man is not from God, because He does not keep the Sabbath." Others said, "How can a man who is a sinner do such signs?"And there was a division among them.
Yule kipofu aliwajibu "Whether He is a sinner or not I do not know. One thing I know: that though I was blind, now I see."
Mambo mengine yanapotokea akili ya kibinadamu na pengine hata ya Dr Slaa mwenyewe haiwezi kuelewa.

Mkuu Chintu;
Utatufanya tukufuru bure mbele ya Mungu; ikiwa Slaa ni chaguo la Mungu basi utawafanya watu wengi sana wahoji hekima za Mungu ndio sababu nakuambia usimchanganye Mungu kabisa na kahaba huyu; labda kama Mungu wenu ni kuwachonga kama wa kihindi; huyu aliyekuwa akiwalamba wanakwaya na wanamaombi ndani ya nyumba ya Bwana; misalaba kila kona hakumuogopa Mungu; kweli wewe unataka kuanimbia katika mamilioni ya watanzania awe huyu mtu mchafu mzinifu mkubwa kama Slaa; hivi kabla ya kuandika huu utumbo akilia yako ilikuwa 100% ? Hayo madude mnayobwia angalieni sana yatawatia uchizi.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Ukweli unauma lakini. Slaa alichokozwa na sita na ndo amemjibu. Sasa wewe kinachokuuma ni nini? Tumia elimu yako kujibu hoja. Slaa sio padri sasa hivi na alikwisha eleza namna alivyo ondoka kwenye upadri. Alifuata taratibu zoote za kanisa katoliki kuondoka katika upadri, sasa wewe kama ni mpumbafu ambaye hata akifundishwa haelewi basi pole.

Mapindi wengi soma historia ya kanisa katoliki ya hawa mapadri wanaoacha utumishi; sababu kubwa 100% ni ngono tena ya kulawiti watoto wa kiume. Tafuta la jingine la kumtetea mzinifu huyo.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Unaweza kuwa mzinzi lakin ukawa na uchungu na taifa lako kwa hyo swala la zinaa na utaifa ni vitu viwili tofauti na akuna mtu ambaye ependi zinaa, jipange tena ulete hoja yako vizuri

Hapa tuanangalia credibility na ethics, Dr Slaa hana hata moja kama ni US siasa angeisoma kwenye magazeti na uzinifu wake; uongo ni sehemu ya maisha yake hatuihitaji raisi mnafiki, mzinifu; mbinafsi sifa zote mbaya anazo yeye.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom