Dkt. Slaa: Siko tayari kutumika kupeleka mafisadi Ikulu (Mahojiano na Raia Mwema)

MAGACHA

JF-Expert Member
Sep 23, 2015
1,078
2,000
Lowassa hajaleta faida yeyote katika chama chetu, naomba viongozi wagu wa CHADEMA mnisikilize mimi wanachama wenu mtiifu. Fanyieni kazi ushauri huu jamani.
Unaumwa ubashite,chama kikuu cha upinzani tunawabunge wangapi sasa hiv,majiji mangapi,halmashauri ngapi,viva lowasa,wew ndo jembe la nchi hii,watumishi na wananchi wengi mtaani wanasema bora lowasa
 

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
17,240
2,000
Haya mahojiano yatasomwa hadi na vitukuu ....hata kama hatutakupa heshima unayostahili sasa Dr Slaa lakini vipo vizazi vitatambua ....
 

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
13,287
2,000
"HERI LIPUMBA YEYE MGAO WAKE ALINUNULIA GHOROFA,KULIKO SLAA AMBAYE YEYE ALIENDA KUSTAREHE HUKO"
Mtu mpuuzi ni mpuuzi tu,mtuhumiwa Alisha sema endapo unamtuhumu na unaushahidi na vielelezo "GO TO COURT" WHY THIS BALAH BLAH MAN TALKING RUBISH EVERY DAY MIGHT BE A DUMB"
*NINGEFURAHI ENDAPO ANGEKUJA NA HOJA YA "I HAVE UFISADI WITNESS N NOW I HAVE TO GO TO THE COURT"
 

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
938
1,000
Slaa ulishindwa kujipeleka Ikulu Leo Kwa uwezo gani umpeleke MTU Ikulu? Huna jipya msaliti mkubwa wewe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom