Dkt. Slaa ni Balozi mstaafu lakini bado ana njaa?! Nchi ngumu sana hii

Dkt. Slaa ni Padre mstaafu wa Kanisa Katoliki

Dkt. Slaa ni Katibu mkuu mstaafu wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki

Dkt. Slaa ni Diwani mstaafu wa CCM

Dkt. Slaa ni mbunge mstaafu wa Chadema

Dkt. Slaa ni Katibu mkuu mstaafu wa Chadema

Dkt. Slaa ni mgombea urais wa JMT mstaafu

Dkt. Slaa ni Balozi mstaafu.... Nk...nk.

Jamani vyeo vyote hivyo NJAA inatoka wapi kwenye familia ya mke mmoja na ka Junior kamoja?

Ramadan kareem.
Katika maisha yake yote ya ubunge hakuwahi kuwa na nyumba hadi akajengewa na Mbowe!! Hiyo ni lost case!
 
Kwa sasa yanabakia kuwa ni maoni yake mpaka pale atakapo hitajika kuyathibitisha kwenye macho ya kisheria..
Unafahamu kitu kinachoitwa accessory to a crime? Kosa la jinai limetendwa na CHADEMA. Slaa akiwa mtendaji mkuu wa CHADEMA. Anazo taarifa na majina ya wahusika. Haendi polisi bali baadaye anatumia uhuru wake wa kutoa maoni kuwasimulia habari hiyo waandishi wa habari. Seriously?
 
Halafu alitaka kugombea urais!
 
Tanzania inahitaji watu kama Dr.Slaa angalau hata 20 tu, ili Nchi iweze kupata ukombozi wa kweli wa kiuchumi na kifikra.

Dr. Slaa nilimwelewa sana akiwa CDM na bado namwelewa sana hata sasa. Angepata nafasi ya kugombea Urais, haki ikatendeka, Dr. Slaa anashinda kwa ushindi wa kishindo kabisa.
 
Alikuwa smart sana kichwani kabla hajakutana na yule kahaba Josephine Mushumbushi.

Mnao ushahidi ilifikia hatua hadi hapa JF ID ya Dr Slaa ilikuwa ikiheshimika sana lakini kwa ulevi wa mbunye uzeeni akampa access Josephine awe anaitumia kutukana watu humu, na watu tulishtuka mapema tu kwamba huu siyo mwandiko wa Dr Slaa bali lile shangingi la kihaya nshomile.
Duh

Ova
 
Dkt. Slaa ni Padre mstaafu wa Kanisa Katoliki

Dkt. Slaa ni Katibu mkuu mstaafu wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki

Dkt. Slaa ni Diwani mstaafu wa CCM

Dkt. Slaa ni mbunge mstaafu wa Chadema

Dkt. Slaa ni Katibu mkuu mstaafu wa Chadema

Dkt. Slaa ni mgombea urais wa JMT mstaafu

Dkt. Slaa ni Balozi mstaafu.... Nk...nk.

Jamani vyeo vyote hivyo NJAA inatoka wapi kwenye familia ya mke mmoja na ka Junior kamoja?

Ramadan kareem.

Mkuu Slaa Ni mmoja wa watu wakweli na serious. Achaneni kutangaza uhuru wa kuongea kwa ajili ya yawapendezayo.
 
Huyu mzee asipopewa teuzi walahi tutampoteza, mlio karibu na mama mpeni taarifa amkubuke mzee wetu ni mtu muhimu Sana kwenye siasa. Nadhani anajuta kama kina waitara na waunga juhudi baada ya jiwe kuwaingiza chaka.

JPM aliminya uhuru wa kuongea. What are you doing now? Slaa Dr. Ni muwazi na mkweli tangu Enzi hizo. Msipende kuona aliye upande wako, ndo Demokrasia. Mjifunze kukubali Ukweli na mengine Ni ya kawaida.
 
Back
Top Bottom