econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,751
- 21,736
Kumwita mtu fisadi ni Jambo moja na kuwa fisadi ni Jambo jingine. Kama lowassa angeuziwa chama na mbowe asingehama au ingekuwa imeshawekwa wazi kabisa Hadi process. Mbowe amefungiwa account, amevunjiwa bilcanas, gazeti lake limefungiwa, shamba lake kuharibiwa na kufunguliwa kesi ya ugaidi. Kama yote hayo amefanyiwa mtu mmoja wanashindwaje kutrace kwamba huyu alilipwa kiasi hiki Cha fedha na lowassa wakaweka hadharani. Sababu ya lowassa kuja CHADEMA ilishaelezwa ni baada ya Dr Slaa, Dr Kahangwa na Prof. LIPUMBA Kila mmoja kugoma kumuachia mwingine urais wakawa wanabishana. Baada ya mapendekezo Dr Slaa akapitishwa Sasa siku ya kumtangaza akaanza masharti ya kutaka tukio liwe kubwa hivyo wakahairisha Sasa happy ndipo Lowassa alipoingia.Unabisha kuwa Mbowe hakumuuzia chama Lowasa?
Unabisha kuwa katiba ya CHADEMA haikuvunjwa kwenye mchakato wakumkabidhi Lowasa chama?
Unabisha kuwa CHADEMA walikula matapishi yao kwa kumteua waliyemwita fisadi Lowasa kuwa mgombea?