Dkt. Slaa kumaliza muda wa Ubalozi karibuni, aanza kuagwa na Diaspora

Yeye si ndo aliteta watafiti toka ulaya,

utafiti ulionyesha lowasa ndo presidential material,

yeye si ndo aliasisi mchakato wa kumleta lowasa chadema

Hii project ya lowasa kuja chadema dr slaa hachomoki
Ina maana wewe hujui kwanini Dr Slaa alikimbia chadema?
 
Daaah anarudi bongo na kuanza kupewa kibano n wife,mana pesa hakuna
Ila mwanaume ukiwa mtumwa wa papuchi hata usome na uwe mkali kiasi gani bado utakua useless, imagine Dr Slaa alikua analala nje kwenye gari kisa lile Kahaba!!
 
Ina maana wewe hujui kwanini Dr Slaa alikimbia chadema?
Huyo alinunuliwa na serikali ya ccm ambao walimuwekea fedha kwenye akaunti yake huko Afrika Kusini akaenda akazichukua na baadaye kwenda zake Canada.

Sasa kwa kanuni ya pesa ni kwamba kama haiingii ni kutoka tu lazima itaisha na ilipoishia akapewa fadhila ya ubalozi ambayo ni kazi ya prestige zaidi kuliko maslahi, sasa atarudi kusubiri mbeleko nyingine kwa ccm kwa kazi aliyowafanyia.
 
Mijamaa hadi leo imeaminishwa eti Dr Slaa ndio msaliti! Wasaliti ni Chadema na hilo Mbowe analijua vizuri, nyumbu hamna mnalojua.
Dogo! dr. Akiona mfereni anapagawa. mpaka papa na vatican wanajua alikuwa msaliti
 
Back
Top Bottom