Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

wewe unayesema safi sana,kuna nini unachotumia au kukimiliki kutoka ulaya?
unafurahia ujinga,tanzania haiwezi kuathirika kwa lolote..sisi washirika wetu wanatoka bara Asia zaidi..
We mjinga sana, uwekezaji ulaya uko juu kiujumla wake, mboga, matunda na watalii wa ulaya ni muhimu kwa uchumi wetue!
 
Kuihukumu Tanzania na kuiadhibu eti ikose biashara na nchi za ulaya, ni mjinga tu anayeweza kufikia maamuzi hayo hasa ukizingatia kuwa baadhi ya nchi za ulaya zinanufaika na biashara Kati yake na Tanzania. Tuangalie upande mwingine wa Dunia hii ambapo tukijitangaza na kwa kupitia maamuzi haya tunaweza kuingia kwenye masoko ya Asia ambayo ndio injini ya Dunia kibiashara.
 
Ninyi ndio mnakiangamiza chama chenyevbila kujijua. Mnang'ang'ania vitu ambavyo havipo badala ya kujenga vyama vyenu. Ikifika uchaguzi, mnakuwa hamjajipanga. Mkishindwa mnadai mmeibiwa kura. Wajinga kabisa ninyi!!!
Hii comment inahusiana nini na ujinga/Ushamba anaoufanga jiwe?
 
Wakate tena wakate kabisa ndio angalau akili ziwarudi. Hatuwezi kutawaliwa kama misukule hivyo.
 
Yaani mwizi unamkamatia bandani then unataka ushahidi wa nini?? Huyu mzee ni aje?
 
Alichozungumza ni nchi za ulaya wazungu huwa wana roho mbaya sana
Hebu tuwe wakweli, kwenye Waswahili kumi na Wazungu kumi ni upande gani utapata wenye roho safi wengi kwa asilimia?.

Huko mitaani wenyewe kuna usemi maarufu "yule jamaa hana shida ni Mzungu"
 
Habari za asubuhi wakuu,

Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia...
Donner country,tukaze buti maana tunaenda kula jeuri ya watawala wetu wazalendo sana.Haya yalitarajiwa,lilikuwa suala la muda tu.
 
Kuna watu wanaijadili video ya Dkt Slaa kama habari mpya ya sasa. Hiyo video ni ya zamani (mwaka 2019). Suala hilo lilishapitwa na wakati. Wanaolisambaza video hiyo wana makusudi yao. Hivyo suala hilo lilishafungwa na halihitaji kujadiliwa kama suala jipya.
 
Nyinyi mnakijenga chama chenu kwa kuweka askari na vifaru barabarani na kukodisha .majeshi kutoka Burundi au vipi mkuu
Endelea kuamini. Lakini wapiga kura wa Tanzania wameishawashtukia. Salam waliwapa Oktoba, 2020. Msipobadili strategia mtapotea kabisa 2025! Tunza hii komenti.
 
Habari za asubuhi wakuu,

Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia...
Huyu naye anaongea ujinga tu. Sasa yeye alitaka aingie kwenye bunge la Ulaya? Wao wanafanya maamuzi baada ya kujirizisha.
 
Inawezekana kuna mchezo unachezwa hapa kwani hii press ya kina Mdee imetoka leo huku clip ya Dr.Slaa ikionekana kuwa posted mtandaoni masas 14 yaliyopita.

Ingia Mndende Media au Jamvin online tv, utaona kuwa hiyo clip ya Dr.Slaa akilalamika hatua zilizochukuliwa na EU dhidi ya Tanzania, ni clip ilivyokuwa posted tarehe 30/11/2020 na inaonyesha kabisa imetukwa posted masaa 14 yaliyopita.

Swali ni je, media za kitanzania hawajaipata hii habari?

Je,huu mkutano wa kina Mdee na waandishi wa habari hauna lengo la kufifisha mjadala kuhusu maamuzi ya EU?

Tusubiri media za kimataifa hasa BBC na DW kujua ukweli wa ni lini maamuzi haya ya EU yametolewa.
 
Si tunaweza kufanya biashara na nchi za Asia na China?? Au nako pia haitowezekana??

Naomba kuuliza, kwani so far tunapeleka bidhaa gani huko Ulaya???
Mfano mziri ni Zimbabwe. Kama ingekuwa ni rahisi kiasi hicho Zimbabwe ingeamua kufanya biashara na China halafu maisha yakaendelea lakini bado inawahitaji wazungu.
 
Alichozungumza ni nchi za ulaya wazungu huwa wana roho mbaya sana
Sio wazungu wana roho mbaya sana, sisi ndio tunafanya ujinga. Hao wachina tunataka kuwaona wana roho nzuri kwasababu wana ujinga kama wa kwetu tuliouanzisha.

Mbona kipindi cha nyuma hatukuwachukia wazungu kama tunavyowachukia leo?!

Ndege wafananao huruka pamoja.
 
Back
Top Bottom