Dkt. Slaa awakemea wanaoichafua Serikali Mitandaoni

Nilimsikiliza vizuri balozi wa Tanzania Sweden akisema watalii wengi wali cancel kuja Tanzania sababu ya matamko ya wanasiasa.Watalii wengi hawaji sababu chadema inaitangaza nchi vibaya nje ya nchi .Watalii kupungua kunasababisha kupungua mapato ya mahoteli na kampunguni za utalii za Moshi na Arusha na manyara na kudhoofu biashara zingine maeneo hayo.Chadema wawe wazalendo ili watalii wengi waje. Kutangaza nchi vibaya mikoa inayoongoza kuumia kwa utangazaji huo Ni yenye vivutio vya utalii vikubwa hasa Kilimanjaro,Arusha na manyara
Kama Chadema kikundi tuu wanaweza kusikilizwa kuluko nyinyi wenye Serikali,Dola,Mahkama,Bunge mjijue nyinyi akili zenu ndogo sana
Maneno ya Zito Serikali wamekabidhiwa washamba ndio yanapata uhalali
 
Nilimsikiliza vizuri balozi wa Tanzania Sweden akisema watalii wengi wali cancel kuja Tanzania sababu ya matamko ya wanasiasa.Watalii wengi hawaji sababu chadema inaitangaza nchi vibaya nje ya nchi .Watalii kupungua kunasababisha kupungua mapato ya mahoteli na kampunguni za utalii za Moshi na Arusha na manyara na kudhoofu biashara zingine maeneo hayo.Chadema wawe wazalendo ili watalii wengi waje. Kutangaza nchi vibaya mikoa inayoongoza kuumia kwa utangazaji huo Ni yenye vivutio vya utalii vikubwa hasa Kilimanjaro,Arusha na manyara

Hivi ninavyoongea niko Serengeti kuna watalii wa kutosha hawana hata pale kukala. Slaa kashindwa kuleta watalii na amejua mteuzi wake anapenda kusikia majibu ya siasa nyepesi. Slaa aseme alipokuwa katibu mkuu cdm pesa za Sabodo walizifanyia nini. Ni kipi kilifanya cdm isiwe na ofisi ya hadhi yake akiwa katibu mkuu?
 
Ubongo umegawanyika katika sehemu kuu mbili, kulia n kushoto. Ila katika kichwa cha mleta mada upande wa kushoto hakuna kitu na upande wa kulia hakuna kitu kabisa.
 
Ni vyema ungeambatanisha ama ungeweka uthibitisho wa hayo 'Matamko' na kwa jinsi gani yameweza kuchangia kufa kwa hizo biashara na upungufu wa hao watalii.
 
Nilimsikiliza vizuri balozi wa Tanzania Sweden akisema watalii wengi wali cancel kuja Tanzania sababu ya matamko ya wanasiasa.Watalii wengi hawaji sababu chadema inaitangaza nchi vibaya nje ya nchi .Watalii kupungua kunasababisha kupungua mapato ya mahoteli na kampunguni za utalii za Moshi na Arusha na manyara na kudhoofu biashara zingine maeneo hayo.Chadema wawe wazalendo ili watalii wengi waje. Kutangaza nchi vibaya mikoa inayoongoza kuumia kwa utangazaji huo Ni yenye vivutio vya utalii vikubwa hasa Kilimanjaro,Arusha na manyara
Heshimuni katiba Sheria na haki za binadamu
 
F08623C0-4E08-4551-8505-F7B934B3A2B3.jpeg
 
Mbona hujautaja mkoa wa Mara wenye mbuga ya Serengeti. Nchi hii mpaka Leo sielewi ni kwanini makao makuu ya TANAPA hayakuwekwa Mugumu ambako ndipo ilipo mbuga ya Serengeti!
 
Nilimsikiliza vizuri balozi wa Tanzania Sweden akisema watalii wengi wali cancel kuja Tanzania sababu ya matamko ya wanasiasa.Watalii wengi hawaji sababu chadema inaitangaza nchi vibaya nje ya nchi .Watalii kupungua kunasababisha kupungua mapato ya mahoteli na kampunguni za utalii za Moshi na Arusha na manyara na kudhoofu biashara zingine maeneo hayo.Chadema wawe wazalendo ili watalii wengi waje. Kutangaza nchi vibaya mikoa inayoongoza kuumia kwa utangazaji huo Ni yenye vivutio vya utalii vikubwa hasa Kilimanjaro,Arusha na manyara

Chama cha siasa Tanzania ni chadema tu au sio
 
Watu wa awamu hii ni walking self contradicting creatures!

Mpo conflicted!

And you forget too much like niggas with Alzheimers!
 
Nilimsikiliza vizuri balozi wa Tanzania Sweden akisema watalii wengi wali cancel kuja Tanzania sababu ya matamko ya wanasiasa.Watalii wengi hawaji sababu chadema inaitangaza nchi vibaya nje ya nchi .Watalii kupungua kunasababisha kupungua mapato ya mahoteli na kampunguni za utalii za Moshi na Arusha na manyara na kudhoofu biashara zingine maeneo hayo.Chadema wawe wazalendo ili watalii wengi waje. Kutangaza nchi vibaya mikoa inayoongoza kuumia kwa utangazaji huo Ni yenye vivutio vya utalii vikubwa hasa Kilimanjaro,Arusha na manyara
Watalii kwanini wasiende Burigi-Chato, Selous, au Ruaha? Mbuga zipo kwenye mikoa uliyoitaja tu?
 
Back
Top Bottom