Dkt. Slaa ashauriwe

econonist

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
15,501
21,256
Tangu astaafu ubalozi na kurudi nchini Dr Slaa amekuwa akitoa kauli zenye utata ambazo mwishoni humrudia yeye mwenyewe.

1. Kwanza, Dr Slaa aliwaataka wafuasi na wanachama wa wachadema wakae kimya na kuacha kudai kuwa Mbowe sio gaidi na hana hatia. Nadhani akilini mwa Dr Slaa alijua lazima Mbowe atatiwa hatiani. Cha kushangaza DPP anafuta mashtaka yote kwa Mh Mbowe na Wenzake.

Aibu ikamwangukia Dr Slaa kwa kudandia kesi asiyoijua imetokea wapi.

2. Pili, Juzi Dr Slaa kasema Ripoti ya CAG imepotoshwa, kwa maana ikishafikishwa mbele ya bunge haitakiwi kuwa public document. Kumbe sheria ilifanyiwa marekebishi na Sasa Report ya CAG ikiwekwa mbele ya bunge inakuwa ni Mali ya Umma. Hivyo jamii inaruhusiwa kuijadili.

Aibu ikamwangukia Dr Slaa kaishia kuomba radhi kuwa amekosea na alipitiwa alidhani sheria ya mwaka 2009 bado inatumika.

3. Jambo la tatu Dr Slaa amedai kwamba Kuna uwezekano ya kwamba CHADEMA ndio wanahusika na kumlima risasi Lissu na akatumia issue ya huko nyuma kutetea hoja yake bila kujua ukweli wa Jambo. Juzi wamelumbana na heche kwenye club house na kuishia kusema amenukuliwa vibaya hakumaanisha hivyo.kwa bahati nzuri CHADEMA bado wanheshimu mzee, wangeweza kumfungulia kesi ya ya madai.

Hivyo walio karibu na Dr Slaa wamshauri ya kwamba alidai amestaafu siasa basi aendelee kustaafu, maana Ni Kama amerudi kwenye siasa.

Pia ajifunze kutoka kwa akina Musiba waliotoa kauli wasizo kuwa na uhakika nazo leo zimewafunga wamejificha hata Uhuru wa kuongea hawana.
 
Kabisa mzee slaa sijui nini kimempata ila najua tu kwamba njaa ni mbaya sana.
 
Dr Slaa ana laana, ana mfadhaiko na hatia. Katika umri wake hakuwahi kuwa hata na kibanda Mbowe akamjengea. Pamoja na uzee wake akaangukia kwa mwanamke akamharibu... anachojaribu kufanya sasa ni dhana ya kuharibu ili tukose wote... bahati mbaya sana wakati hauko upande wake...

The lost case!!
 
Mwanamke huyo uliyemtaja "akamwaribuje?"
#Fafanua.
 
Tangu astaafu ubalozi na kurudi nchini Dr Slaa amekuwa akitoa kauli zenye utata ambazo mwishoni humrudia yeye mwenyewe.

1. Kwanza, Dr Slaa aliwaataka wafuasi na wanachama wa wachadema wakae kimya na kuacha kudai kuwa Mbowe sio gaidi na hana hatia. Nadhani akilini mwa Dr Slaa alijua lazima Mbowe atatiwa hatiani. Cha kushangaza DPP anafuta mashtaka yote kwa Mh Mbowe na Wenzake.

Aibu ikamwangukia Dr Slaa kwa kudandia kesi asiyoijua imetokea wapi.

2. Pili, Juzi Dr Slaa kasema Ripoti ya CAG imepotoshwa, kwa maana ikishafikishwa mbele ya bunge haitakiwi kuwa public document. Kumbe sheria ilifanyiwa marekebishi na Sasa Report ya CAG ikiwekwa mbele ya bunge inakuwa ni Mali ya Umma. Hivyo jamii inaruhusiwa kuijadili.

Aibu ikamwangukia Dr Slaa kaishia kuomba radhi kuwa amekosea na alipitiwa alidhani sheria ya mwaka 2009 bado inatumika.

3. Jambo la tatu Dr Slaa amedai kwamba Kuna uwezekano ya kwamba CHADEMA ndio wanahusika na kumlima risasi Lissu na akatumia issue ya huko nyuma kutetea hoja yake bila kujua ukweli wa Jambo. Juzi wamelumbana na heche kwenye club house na kuishia kusema amenukuliwa vibaya hakumaanisha hivyo.kwa bahati nzuri CHADEMA bado wanheshimu mzee, wangeweza kumfungulia kesi ya ya madai.

Hivyo walio karibu na Dr Slaa wamshauri ya kwamba alidai amestaafu siasa basi aendelee kustaafu, maana Ni Kama amerudi kwenye siasa.

Pia ajifunze kutoka kwa akina Musiba waliotoa kauli wasizo kuwa na uhakika nazo leo zimewafunga wamejificha hata Uhuru wa kuongea hawana.
Yuko desparate sana. Alijua akiondoka Chadema itakufa🤣🤣🤣
 
Akitazama huku na kule anaona pension haitoshi🤣🤣🤣
 
Hahahaaaa
 
dr slaa kachanganyikiwa na ule ulemavu wake wa kupigwa na Mshumbusi

nashauri ajiue mwenyewe kwa namna anayoona itamfaa
 
Anaropoka kama mtu anayekaribia kukata roho.
 
Similar Discussions

22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom