Dkt. Slaa apokelewa kwa kishindo Tunduma; aahirisha kukagua BVR

Sasa ni China Mkiti Mkoa

Makamanda kwa mda kama wa siku kumi sikuwepo nilikuwa kwa Mwandosya ambako tulienda kushambulia huko na baada ya kurudi kwa Bahati nzuri tunapokea ugeni wa KM na hivi karibuni tunakwenda kuwapoke TL na Halima Mdee...... Watu wanashangilia hapa

BACK TANGANYIKA

Hivi huna kazi ya kufanya unahangaika na Slaa aliepoteza mvuto
 
Anasema ihuni wanaoufanya ccm unaweza kutuangamiza... Anasema Ccm wanawashawishi watu wa kuandikisha pindi wanapofunga Kituo saa kumi mbili jioni huwa wanawashawishi waandikaji kuridi tena usiku kuwaandikisha wanaccm... Anasema uhuni huu tusiukubali.

BACK TANGANYIKA
 
Nako huku kwenye TV kuna Savimbi anatangaza nia pale Dom! Hawa magamba ni hatari kwa afya ya Taifa letu.
 
Anasema ihuni wanaoufanya ccm unaweza kutuangamiza... Anasema Ccm wanawashawishi watu wa kuandikisha pindi wanapofunga Kituo saa kumi mbili jioni huwa wanawashawishi waandikaji kuridi tena usiku kuwaandikisha wanaccm... Anasema uhuni huu tusiukubali.

BACK TANGANYIKA

Achana na Slaa,Watanzania tuko bize tunamsikiliza Mwigulu akitangaza nia
 
Makene weka picha tulinganishe na jana mahudhurio ya Lowasa Arusha

Alas! Kumbe CCM ndo wametafuta style ya kujilinganisha na CHADEMA!

Mtafika levels hizi; angalia hapa chini. Hapa ni mikutano ambapo wananchi wanakuja wenyewe kwenye mkutano wa eneo moja. Bila kubebwa kutoka mikoani...
 

Attachments

  • 1433077320016.jpg
    1433077320016.jpg
    23.6 KB · Views: 366
Now ni Highly Profiley Hon Sauti ya Simba, David Silinde...!!!!

Anasema wakati anaingia madarakani mama Ntilie walikuwa wanapigwa na masufiria ya wali walikuwa wakiondoka nayo maaskari wa ccm!!

BACK TANGANYIKA
 
Anasema wakati anaingia Bungeni Tunduma ilikuwa innakusanya mapato kiasi cha sh. 257 na sasa tunakusanya Blioni Moja na milioni Mianne!

BACK TANGANYIKA
 
Now ni Highly Profiley Hon Sauti ya Simba, David Silinde...!!!!

Anasema wakati anaingia madarakani mama Ntilie walikuwa wanapigwa na masufiria ya wali walikuwa wakiondoka nayo maaskari wa ccm!!

BACK TANGANYIKA

Mkuu tupia picha,ukikaa juu ya tank LA Maji pale unaweza kuchukua picha nzur
 
Anasema toka uhuru ccm imejenga madarasa 50 na yeye pamoja na madiwani wake wamejenga madarasa 157..!!

BACK TANGANYIKA
 
Anasema wakati anaingia madarakani Barabara za Momba zilikuwa hazipitiki lakini mpaka sasa barabara zinapitika na Ktk halimashauri ya Mji Tdm mpaka sasa kuna barabara mpaka za mitaa.

BACK TANGANYIKA
 
Toka uhuru ccm hawajawahi kutoa huduma ya maji kwa wananchi. Lakini yeye katoa hela zake mfukoni na kujenga Visima 7 na wanaendele kujenga visima vingine kwa kushirikiana na wananchi..!!!!

BACK TANGANYIKA
 
Nafikiri kuwa the next term hakutakuwa na kiongozi wa ccm katika ngazi yoyote ya kisiasa huko Tunduma. CCM itabaki Tanga tu.
 
Huyu ndiye mfalme atakayetutoa watanzania kwenye utumwa waccm
 
Wakati tunaingia Momba ili kuwa haina hata kilomita moja ya Lami lakini sasa kuna kilomita 157 iliyowezeshwa na MCC..

Na anasema kwasasa wameingia mkataba wa ujenzi wa Lami kolomita 142 toka Mlowo Wameingia mkataba wa kujenga Kituo cha kufua umeme Mgw40..!!!

BACK TANGANYIKA

BACK TANGANYIKA
 
Baada ya kukagua uandikishaji wa BVR katika kituo cha Makaumba mjini Tunduma, Katibu Mkuu Dk. Slaa amelazimika kuahirisha kwa muda shughuli hiyo na kuelekea kwenye kikao cha ndani kupata briefings kabla hajaenda kwenye mkutano wa hadhara muda mfupi ujao.

Kuahirisha zoezi hilo la ukaguzi kumetokana na wananchi wa mji wa Tunduma na vitongoji vyake kujitokeza kwa wingi kumpokea Katibu Mkuu Dk. Slaa huku umati mkubwa wa watu ukiambatana naye kila anakokwenda alipoanza tu kukagua zoezi la uandikishaji wapiga kura Mjini Tunduma.

Akizungumza na wananchi hao waliojitokeza kwa wingi kuja wakionesha kiu kubwa ya mabadiliko ndani ya nchi watayoyafanya kwa nguvu ya umma kwenye sanduku la kura mwaka huu, Dk. Slaa mbali ya kuwashukuru wananchi Kwa moyo wao wa upendo wa dhati na kwa chama na kuendelea kujitoa kwa ajili ya harakati, amewaomba wamruhusu asiendelee na kukagua vituo vya uandikishaji BVR kwa sababu ni vigumu umati wote huo unaomfuata kuingia vituoni ambako wananchi wanaandikishwa.

Wananchi wamekubali rai ya kiongozi wao lakini wamesema atakutana na umati Mkubwa zaidi Kwenye mkutano wa hadhara muda mfupi ujao na waliofika kumpokea wameanza kuelekea uwanjani kuwahi kuchukua nafasi ya kusikiliza ujumbe wa Katibu Mkuu.

Muwekage na picha Bhe! Si kwamba hatuamini ila kautamu bhe kanogage!
 
Back
Top Bottom