Dkt. Slaa apokelewa kwa kishindo Tunduma; aahirisha kukagua BVR


Tumaini Makene

Tumaini Makene

Verified Member
Joined
Jan 6, 2012
Messages
2,619
Points
1,500
Tumaini Makene

Tumaini Makene

Verified Member
Joined Jan 6, 2012
2,619 1,500
Baada ya kukagua uandikishaji wa BVR katika kituo cha Makaumba mjini Tunduma, Katibu Mkuu Dk. Slaa amelazimika kuahirisha kwa muda shughuli hiyo na kuelekea kwenye kikao cha ndani kupata briefings kabla hajaenda kwenye mkutano wa hadhara muda mfupi ujao.

Kuahirisha zoezi hilo la ukaguzi kumetokana na wananchi wa mji wa Tunduma na vitongoji vyake kujitokeza kwa wingi kumpokea Katibu Mkuu Dk. Slaa huku umati mkubwa wa watu ukiambatana naye kila anakokwenda alipoanza tu kukagua zoezi la uandikishaji wapiga kura Mjini Tunduma.

Akizungumza na wananchi hao waliojitokeza kwa wingi kuja wakionesha kiu kubwa ya mabadiliko ndani ya nchi watayoyafanya kwa nguvu ya umma kwenye sanduku la kura mwaka huu, Dk. Slaa mbali ya kuwashukuru wananchi Kwa moyo wao wa upendo wa dhati na kwa chama na kuendelea kujitoa kwa ajili ya harakati, amewaomba wamruhusu asiendelee na kukagua vituo vya uandikishaji BVR kwa sababu ni vigumu umati wote huo unaomfuata kuingia vituoni ambako wananchi wanaandikishwa.

Wananchi wamekubali rai ya kiongozi wao lakini wamesema atakutana na umati Mkubwa zaidi Kwenye mkutano wa hadhara muda mfupi ujao na waliofika kumpokea wameanza kuelekea uwanjani kuwahi kuchukua nafasi ya kusikiliza ujumbe wa Katibu Mkuu.

Mapokezi ya Katibu Mkuu kwenye picha...kwa hali hii isingekuwa rahisi kuendelea kukagua vituo vya BVR...upendo mkubwa wa watu wa Tunduma na dhamira yao kwenye mapambano imezidi kujionesha.

Mkutanoni...

 
M

M2.

Senior Member
Joined
Nov 27, 2013
Messages
161
Points
0
Age
39
M

M2.

Senior Member
Joined Nov 27, 2013
161 0
Tumaini la watanzania. Mungu akujalie afya njema uliongoze taifa letu.
 
Chademakwanza

Chademakwanza

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
6,350
Points
1,225
Chademakwanza

Chademakwanza

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
6,350 1,225
Ndio Rais atambulikae ajae Tanzania
 
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Messages
15,280
Points
2,000
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2012
15,280 2,000
...

...amsha amsha kila kona mpaka Magamba sugu yasande !!!
 
respect wa boda

respect wa boda

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
4,492
Points
2,000
respect wa boda

respect wa boda

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
4,492 2,000
Mkuu mimi niko hapa kwenye Uwanja wa Dr Slaa, tunamsubiri our president.

BACK TANGANYIKA
 
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
26,254
Points
2,000
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
26,254 2,000
Dr.Slaa ni baba wa Taifa II
 
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Messages
15,280
Points
2,000
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2012
15,280 2,000
...

....dadedeki wamweke fisadi watu washangilie ukombozi asubuhi kabla ya chai !!!!
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
59,030
Points
2,000
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
59,030 2,000
unajua bhana tuache masihara , huyu mtu anajituma sana na anaonekana ni mwenye afya njema na nguvu za kutosha , hizi pilikapilika zake mtu mwenye afya kimeo hathubutu .
 
respect wa boda

respect wa boda

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
4,492
Points
2,000
respect wa boda

respect wa boda

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
4,492 2,000
mkuu tunakutegemea sana kwa update maana watu wa tunduma hamfanyigi makosa
Pomoja sana mkuu ngoja nikachukue siraha zangu tayari kwa mapambano. Haya ni maeneo ya kujidai kwetu

BACK TANGANYIKA
 
bampami

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Messages
5,144
Points
2,000
bampami

bampami

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2011
5,144 2,000
Hii ni moja ya picha aliyokuwa huko Vwawa jana. Je unajua kazi ya hii kitu? Legeza shingo uone.!

BACK TANGANYIKA
ha ha ha tumgoge tumneshe ha ha ha Mbeya kazi na dawa..I like city lol...nyumbani huwa hawafanyagi makosa ha ha ha........
 
N

Noncommited

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2012
Messages
1,125
Points
1,250
N

Noncommited

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2012
1,125 1,250
Mwenyezi Mungu amtangulie na amuepushe na hila zote mbaya kawni watanzania wana kiu na matumaini juu yake come 25 October 2015
 

Forum statistics

Threads 1,285,394
Members 494,584
Posts 30,860,410
Top