Dkt. Shoo ni Mkuu wa KKKT au ni Askofu mkuu wa KKKT? Maana kuna tofauti hapo!

Kuleta migogoro ya makanisa mitandaoni au sehemu nyingine nje ya kanisa ni ujinga, ujuha na uwezo duni wa kufikiri. Kama kanisa ulilopo lina migogoro kwa nini msimalize wenyewe huko ndani ya kanisa washiriki na viongozi wenu husika ? Kama imeshindikana kabisa kufikia muafaka kwa nini msiachane na hilo kanisa mkaenda madhehebu mengine, kama hilo nalo ni gumu pia kwa nini msianzishe kanisa lenu wenyewe?

Tanzania ina uhuru mkubwa wa kiimani, mtu unaweza kuhamia dhehebu lingine au dini nyingine kabisa wakati wowote bila kikwazo. Pia Tanzania ni sehemu rahisi sana kuanzisha kanisa lako tofauti na nchi kama Rwanda, kama mnaona mnashindwana na wenzenu anzisheni kanisa lenu msiparuane na kulazimisha upande wenu mnaoona ni sahihi kwenu.
Dr Shoo ana madaraka ya kuwaamulia jambo Dayosisi nyingine zaidi ya ile anayoingoza yeye ya Kilimanjaro?

Sioni tatizo kuelimishana katika hili.
 
Kuleta migogoro ya makanisa mitandaoni au sehemu nyingine nje ya kanisa ni ujinga, ujuha na uwezo duni wa kufikiri. Kama kanisa ulilopo lina migogoro kwa nini msimalize wenyewe huko ndani ya kanisa washiriki na viongozi wenu husika ? Kama imeshindikana kabisa kufikia muafaka kwa nini msiachane na hilo kanisa mkaenda madhehebu mengine, kama hilo nalo ni gumu pia kwa nini msianzishe kanisa lenu wenyewe?

Tanzania ina uhuru mkubwa wa kiimani, mtu unaweza kuhamia dhehebu lingine au dini nyingine kabisa wakati wowote bila kikwazo. Pia Tanzania ni sehemu rahisi sana kuanzisha kanisa lako tofauti na nchi kama Rwanda, kama mnaona mnashindwana na wenzenu anzisheni kanisa lenu msiparuane na kulazimisha upande wenu mnaoona ni sahihi kwenu.
Unataka iwe inapelekwa wapi?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo ni Dr Alex malalzuza
Mm nimekuja kugundua kuwa Dr mwaikali alikuwa sahih kuitoa hyo dayosis kutoka tukuyu na kuileta mjin Kati mbeya ili uhuduma ya kidayosis ipatike karibu
 
mkuu umenichekesha sana hapo kwenye katiba ya ACT kusema kweli mi sijui kazi ya zito kabwe
... Zitto ndani ya ACT ndiye nembo ya Chama; ni alpha na omega. Kauli yake ni kauli ya mwisho.
 
sasa kwanini wasifunge na kuomba badala yake imekua vita kama ya simba na yanga mtifuano kweli kweli hadi wanaharibu image ya kanisa kkkt inaonekana ya wahuni
Mhhhh, wewe nawe hujui kitu, nani alikudanganya kwamba Simba na Yanga kuna vita ? Pale kuna utani wa jadi tu na burudani. Hayo mambo ya vita unayajua wewe usiyefahamu soka.
 
Labda tumuulize Dr Kigwangalla na Tukutuku!
 
Tatizo la maaskofu wengi wa KKKT wamejikita sana kwenye mambo ya siasa na wakasahau mambo ya dini. Kwa mfano askofu Bagonza kila siku ana tweet na kuandika mambo ya siasa badala ya dini.
 
Hama Kanisani kwake, nenda kwa Gwajima.

Mchungaji Msigwa alikuwa Mluteri wa Matambe Dayosisi ya Bulongwa Makete.

Alipochukuliwa na Lyatonga Mrema na kuingia siasani akahama na kwenda kwenye Kanisa binafsi la kaka yake pale kihesa Iringa.

Huo ndio uungwana na huyo Bagonza ajifunze kwa Msigwa!
 
Back
Top Bottom