Dkt. Selemani Sewangi ateuliwa Katibu Mkuu Mtendani wa BAKITA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dkt. Selemani Sewangi ateuliwa Katibu Mkuu Mtendani wa BAKITA

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by tatanyengo, Jul 15, 2012.

 1. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara amemteua Dkt. Selemani Sewangi (55) kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA).

  Kwa mujibu wa taarifa ya Waziri, uteuzi huo umeaanza rasmi Julai Mosi mwaka huu.

  Dkt. Sewangi ni Mhadhiri Mwandamizi wa Taasisi za Kiswahili kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

  Dkt. Sewangi anachukua nafasi iliyoachwa na Dkt. Anna Kishe aliyestaafu kwa mujibu wa sheria

  Source: www.wavuti.com
   
Loading...