Dkt. Peter Mathuki Atangazwa Kuwa Katibu Mkuu Wa Jumuiya Ya Afrika Mashariki

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,861
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Paul Kagame amemtangaza Dkt. Peter Mathuki kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Dkt. Mathuki ambaye ni mkenya ni mtaalamu wa Uchangamano wa Kikanda, pia aliwahi kuwa Mbunge wa Afrika Mashariki (EALA) ambapo alikuwa mwenyekiti wa kamati ya Utawala Bora

Amefanyakazi na Shirika la Kimataifa la Wafanyakazi (ILO) pia ni mtu ambaye alishiriki katika hatua za kuleta Soko la Pamoja la Africa Mashariki (AfCFTA)
==
The chairman of the EAC Heads of State, Rwandan President Paul Kagame has announced Dr Peter Mathuki from Kenya as the new Secretary General of the East African Community (EAC)

Dr. Mathuki currently serves as the Chief Executive Officer the East African Business Council (EABC), driving the Private Sector agenda in the EAC Region.

Dr. Mathuki is an expert in regional integration and has served in several regional organizations.

He formerly served as a Member of Parliament of the East African Legislative Assembly (EALA), where he chaired the EALA Committee responsible for good governance and served in the Committee of Trade and Investment.

He previously served as a Director in charge of International Labour Standards (ILO) at the International Confederation of Free Trade Unions (ICFTU-Africa which later became ITUC-Africa) and later in the European Union (EU) programs for Africa based in Asmara, Eritrea.

Dr Mathuki is passionate about regional integration and is currently involved in the process of implementing the African Continental Free Trade Area (AfCFTA) and formation of the African Business Council.

He was equally instrumental in the negotiation of the EAC Common Market Protocol and Regional economic issues since 2004. He strongly supported the formation of various EAC platforms; instrumental in the EAC regional integration process.

Source: The Citizen
 
..kuna mambo MAZITO yameamuliwa ktk kikao hicho.

..moja wapo ni kuanzishwa kwa East African Monetary Institute kabla ya July 1, 2021.

..East African Monetary Institute ni chombo mtangulizi wa East African Central Bank.

..Nchi wanachama zimeielekeza sekretariat ya EAC kuteuwa nchi itakayokuwa mwenyeji[host] wa EAMI.

..malengo ya East African Community ni nchi wanachama kuwa na SARAFU moja mwaka 2024.
 
Muwakilishi wetu atatuambia kwa kina, yeye anaangalia Nchi mambo ya ndani ya nje ni ya jirani, kazi ipo,
 
Halafu huku mtu mwenye CV ya nusu page anakua chief Secretary of state. Kazi ipo.
Bashiru ni senior Lecturer wa UDSM na kipindi anasoma Bachelor aliwaongoza waliokuwa nae mwaka mmoja tokea mwaka wa kwanza hadi wa mwisho , kwa kuwa Senior Lecturer wa UDSM sidhani kama atakuwa na CV nyepesi
 
..kuna mambo MAZITO yameamuliwa ktk kikao hicho...
Ila Burundi watakuwa liability kwenye hiyo sarafu maana wale kwa miaka mingi wanatumia sana fedha za kigeni ila cha ajabu hawaweki mkazo kuingiza fedha za kigeni
 
Ila Burundi watakuwa liability kwenye hiyo sarafu maana wale kwa miaka mingi wanatumia sana fedha za kigeni ila cha ajabu hawaweki mkazo kuingiza fedha za kigeni

Nadhani nchi mwanachama itaingia ktk east african monetary union baada ya kuwa imefikia vigezo.

Pia kati ya mwaka huu na mwaka 2024 ni muda wa maandalizi, kwa hiyo kila nchi itabidi iweke "mahesabu" yake sawasawa.

Pamoja na hayo nakubaliana na wewe kwamba Burundi na South Sudan ni mizigo ktk EAC.
 
Bashiru ni senior Lecturer wa UDSM na kipindi anasoma Bachelor aliwaongoza waliokuwa nae mwaka mmoja tokea mwaka wa kwanza hadi wa mwisho , kwa kuwa Senior Lecturer wa UDSM sidhani kama atakuwa na CV nyepesi
Unaelewa maana ya CV? Umeelewa niliposema CV ya nusu page?
 
..nadhani nchi mwanachama itaingia ktk east african monetary union baada ya kuwa imefikia vigezo.

..pia kati ya mwaka huu na mwaka 2024 ni muda wa maandalizi, kwa hiyo kila nchi itabidi iweke "mahesabu" yake sawasawa.

..pamoja na hayo nakubaliana na wewe kwamba Burundi na South Sudan ni mizigo ktk EAC.

Wajipange kiukweli maana wazembe sana wale , nchi ya Israel haifikii hata asilimia 5 ya ardhi ya Sudan kusini ila wanahela za kigeni mpaka za zisizohitajika cha ajabu Sudan Kusini ndie ambae kuna wakati hakuna hata hela yoyote ya kigeni kwenye coffers
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom