Dkt. Ndunguru ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya LATRA. Prof. Mshandete ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TFRA

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,357
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhun ya Muungano wa Tanzama, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. John Stanslaus Ndunguru kiwa Mwenvekit wa Bodi va Mamlaka ya Udhibiti wa Usafin wa Ardhim (LA 7RA).

Taanfa ihiyotolewa na Katbu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kyazi imeeleza kuwa uteuzi wa Dkt. Ndunguru umeanza tarehe 09 Septemba, 2019.

Wakah huo hno, Mhe. Rais Magufuli amemteua Prof. Antony Manon Mshandete kuwa Mwenvekit wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibit wa Mbolea Tanzania ( TFRA).

Prof. Mshandete ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo (7aa/iwmna, Utafi na Ubunifi), Taasisi ya Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela (NM-AIST) kilichopo Mkoani Arusha.

Uteuzi huu umeanza tarehe 09 Septemba, 2019.

Msigwa Mkunugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU Dar es Salaam 10 Septemba, 2019
8FA09EA1-0CC9-414B-A75A-183A7801FC99.jpeg
 
Yuko Ndunguru aliyekuwa utafiti kilimo: Kicheche mkali kwa first appointment kule kilimo! Je ni huyu? Au huyo ngoma ilishabeba?
Hapana huyu ni mwingine kabisa! Wala huyu hajui maswala ya KILIMO maana huyu ni mhandisi mitambo! Nakumbuka aliwahi kuwa KATIBU mkuu wizara ya UJENZI, akatumbuliwa na kupelekwa kuwa RAS Kigoma! Kiufupi wanafahamiana sana na Jiwe!
 
Hapana huyu ni mwingine kabisa! Wala huyu hajui maswala ya KILIMO maana huyu ni mhandisi mitambo! Nakumbuka aliwahi kuwa KATIBU mkuu wizara ya UJENZI, akatumbuliwa na kupelekwa kuwa RAS Kigoma! Kiufupi wanafahamiana sana na Jiwe!


Kuwa RAS ni sawa na kupewa Sabbatical leave?
 
Kuwa RAS ni sawa na kupewa Sabbatical leave?
RAS NI CHEO KIZUR MNO KINACHOENDANA NA KITENGO MAALUM KAMANDA WA TAKUKURU ,DIWANI ATHUMAN ALIKUWA ANAZUNGUSHWA TU ....NAE AMEWAH KUWA RAS ,KICHERE YULE WA TRA,MASWI AMBAE NAE AMEWAH KUWA KATIBU MKUU IDARA YA NISHATI NAE NI RAS ....WOTE HAO NI VITENGO ...RAS N CHEO FLANI KINACHOFICHA WATU WA IDARA
 
Back
Top Bottom