Kiukweli wewe ndo unaonekana kichwa pazi na itakuwa ni pacha wake Assad ambaye kwasasa tayari amejipotezea legacy ya kuitwa Profesa. Hakuna Profesa mwenye kichwa kunguru kama Assad yaani anajinsia ya kiume lakini anaongea kama anajinsia mbili. Mtu amefikia kiwango cha kuwa CAG anajua kabisa hatua hiyo ikifikiwa unatakiwa kuwa mfano kwa wengine wakati ukiwa kazini na baada ya utumishi wako kukoma.Naona mleta mada hujajipanga kuandika, wewe na Ndumbaru hamjaweza kujibu hoja za Professor na badala yake mmemshambulia Professor Asad. Ni kipi cha ajabu kwa Tanzania kuwa na watumishi au viongozi wengi wenye vichwa panzi na wasiokuwa na uwezo?
Ananikumbusha alivyokuwa USA alitamka eti Bunge dhaifu nilijua labda alipitiwa kibinadamu na Juzi tena kurudia Watumishi wa Umma hawana uwezo wa kufanya kazi na Wakati anaishi Tanzania humohumo akihudumiwa na Watumishi wa umma.
Kuna Haja Kabla hajafungwa kwa Kosa alilolifanya la kuudanganya umma na kutoa taarifa za uhongo akizihadhisha kuwa ni za kweli kwenda kufungwa Miaka isiyopungua 20 natoa pendekezo kuwa Huyu mnayemuita Assad Apelekwe Mirembe akapimwe akili.
Duuuuuu: Poleni Watanzania Kiukweli Assad ni kinyesi