Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,156
- 31,043
Wanasiasa uwa makini na wenye hoja za msingi wanapopokonywa hivyo vyeo. January Makamba wa sasa siye yule wa kipindi cha JPM ila ni yule wa kipindi cha JKHuyu si aliongeza bando huyu. Kwanza ndio amefanya E-commerce imekua ngumu