Dkt. Naomi Katunzi ni hazina kwa Taifa letu

Ntinje

Senior Member
Feb 2, 2019
118
100
1626170343713.png

Dr. Naomi Katunzi ni hazina kwa Taifa letu. Huyu mama anao uzoefu mkubwa sana wa kiuongozi. Mheshiwa Rais ikikupendeza Mama huyu mpatie Wizara ya Elimu. Hakika Wizara hii itakuwa imepata mkombozi mkubwa ayejua mfumo mzima wa Elimu yetu hapa nchini. "Naomi B. Katunzi is a Research Associate on the Tanzanian team of the AFLA project.

She is also a Senior Lecture at St. John’s University, St Mark’s Centre in Dar es Salaam, Tanzania. She has taught in several secondary schools, was a school inspector and taught at the University of Dar es Salaam for sixteen years.

She was also a director of the Tanzania Institute of Education and retired as Permanent Secretary in the Ministries of Education and Culture, Higher Education and Communication, Science and Technology respectively. Dr Katunzi has written and published a good number of academic papers and has conducted extensive researches and consultancies.

She pioneered the Complementary Basic Education in Tanzania (COBET) an alternative programme for out of school children. She holds a PhD in Curriculum Policy and focuses on curriculum development and evaluation. Currently she teaches postgraduate programmes in education."
 
Job fit... team fit... Baada ya makaratasi, tunakwenda kwenye haiba na tabia!. Niaje?
 
Dr. Naomi Katunzi ni hazina kwa Taifa letu. Huyu mama anao uzoefu mkubwa sana wa kiuongozi. Mheshiwa Rais ikikupendeza Mama huyu mpatie Wizara ya Elimu. Hakika wizzara hii itakuwa imepata mkombozi mkubwa ayejua mfumo mzima wa Elimu yetu hapa nchini. "Naomi B. Katunzi is a Research Associate on the Tanzanian team of the AFLA project.

She is also a Senior Lecture at St. John’s University, St Mark’s Centre in Dar es Salaam, Tanzania. She has taught in several secondary schools, was a school inspector and taught at the University of Dar es Salaam for sixteen years.

She was also a director of the Tanzania Institute of Education and retired as Permanent Secretary in the Ministries of Education and Culture, Higher Education and Communication, Science and Technology respectively. Dr Katunzi has written and published a good number of academic papers and has conducted extensive researches and consultancies.

She pioneered the Complementary Basic Education in Tanzania (COBET) an alternative programme for out of school children. She holds a PhD in Curriculum Policy and focuses on curriculum development and evaluation. Currently she teaches postgraduate programmes in education."
Umempigia debe la kutosha, nasikia mama huwa anapita humu mara moja moja, nadhani atakutana nayo. Vinginevyo atabaki anaku-zoom tu. Saa ingine ukute ni Katunzi mwenyewe ameondoka!
 
Binafsi pamoja na kuwa ninaifahamu sekta hii ya Elimu, lakini huyu mama ni mtu mzoefu anayeweza kustahimili matarajio ya watanzania . Mheshimiwa Rais sina unasaba wowote na huyu mama isipokuwa mama huyu namjua kwa utendaji na hivyo kunisukuma kumpigia chapuo kwa nafasi hii. Hakika mama huyu anaweza kuvuka utendaji wa Jasckson Makweta ambaye alifanya kazi nzuri katika wizara hii. Naomba kuwasilisha.
 
Dr. Naomi Katunzi ni hazina kwa Taifa letu. Huyu mama anao uzoefu mkubwa sana wa kiuongozi. Mheshiwa Rais ikikupendeza Mama huyu mpatie Wizara ya Elimu. Hakika wizzara hii itakuwa imepata mkombozi mkubwa ayejua mfumo mzima wa Elimu yetu hapa nchini. "Naomi B. Katunzi is a Research Associate on the Tanzanian team of the AFLA project.

She is also a Senior Lecture at St. John’s University, St Mark’s Centre in Dar es Salaam, Tanzania. She has taught in several secondary schools, was a school inspector and taught at the University of Dar es Salaam for sixteen years.

She was also a director of the Tanzania Institute of Education and retired as Permanent Secretary in the Ministries of Education and Culture, Higher Education and Communication, Science and Technology respectively. Dr Katunzi has written and published a good number of academic papers and has conducted extensive researches and consultancies.

She pioneered the Complementary Basic Education in Tanzania (COBET) an alternative programme for out of school children. She holds a PhD in Curriculum Policy and focuses on curriculum development and evaluation. Currently she teaches postgraduate programmes in education."
Ameamliza mda wake wa kazi, mwache apumzike
 
Binafsi pamoja na kuwa ninaifahamu sekta hii ya Elimu, lakini huyu mama ni mtu mzoefu anayeweza kustahimili matarajio ya watanzania . Mheshimiwa Rais sina unasaba wowote na huyu mama isipokuwa mama huyu namjua kwa utendaji na hivyo kunisukuma kumpigia chapuo kwa nafasi hii. Hakika mama huyu anaweza kuvuka utendaji wa Jasckson Makweta ambaye alifanya kazi nzuri katika wizara hii. Naomba kuwasilisha.
mwacheni apumzike, ndiyo maana kuna neno "KUSTAAFU"
 
Bado namuleta kwenu tena huyu Dkt Katunzi....huyu atakuwa mwarobaini wa wizara ya elimu.
 
Dr. Naomi Katunzi ni hazina kwa Taifa letu. Huyu mama anao uzoefu mkubwa sana wa kiuongozi. Mheshiwa Rais ikikupendeza Mama huyu mpatie Wizara ya Elimu. Hakika Wizara hii itakuwa imepata mkombozi mkubwa ayejua mfumo mzima wa Elimu yetu hapa nchini. "Naomi B. Katunzi is a Research Associate on the Tanzanian team of the AFLA project.

She is also a Senior Lecture at St. John’s University, St Mark’s Centre in Dar es Salaam, Tanzania. She has taught in several secondary schools, was a school inspector and taught at the University of Dar es Salaam for sixteen years.

She was also a director of the Tanzania Institute of Education and retired as Permanent Secretary in the Ministries of Education and Culture, Higher Education and Communication, Science and Technology respectively. Dr Katunzi has written and published a good number of academic papers and has conducted extensive researches and consultancies.

She pioneered the Complementary Basic Education in Tanzania (COBET) an alternative programme for out of school children. She holds a PhD in Curriculum Policy and focuses on curriculum development and evaluation. Currently she teaches postgraduate programmes in education."
Ana umri gani?
 
We ni mjinga sana , mtu alishahudumu katika serikali mpaka akastaafu kama Katibu Mkuu wa wizara bado unataka Tena ateuliwe, utakuwa na punguani.

Sisi tunaolalamika ajira kwa vijana kwamba hawa wazee wapishe vijana muda ukifika we unataka arudi tena serikalini. Au ni mamaako unakaa home unamtegemea afanye kazi we ule tu?

Kafanye kazi aisee huyu Bibi apumzike huko na ikifaa apumzike hata kufundiaha we have PhD kibao za vijana zinazubaa tu. Kuna list kubwa kwa sasa vijana wa 38 to early 40's wameshapiga PhD . Hao wazee wenu wapishe sasa kama hujaenda shule kamsaidie mamako kufuga nguruwe.

Sorry to say that.
 
kijana nakuona una kadigrii kamoja kana kubabaisha sana pole sana.....bado unasafari ndefu sana . Nafasi kama hiyo hujui ni mtu wa aina ipi anafaa ila unachoonesha hapa ni ujuaji wa chuo
 
Nadhani haujajua unaongea na mtu wa level gani BTW Nina Masters mbili MBA na LL.M. nina umri wa kumpasua mamako maana ni 42 sasa. Heshimu wazazi wako sema sababu mmeamua kukosa nidhamu humu basi wacha tukoseane nidhamu.
 
We ni mjinga sana , mtu alishahudumu katika serikali mpaka akastaafu kama Katibu Mkuu wa wizara bado unataka Tena ateuliwe, utakuwa na punguani.

Sisi tunaolalamika ajira kwa vijana kwamba hawa wazee wapishe vijana muda ukifika we unataka arudi tena serikalini. Au ni mamaako unakaa home unamtegemea afanye kazi we ule tu?

Kafanye kazi aisee huyu Bibi apumzike huko na ikifaa apumzike hata kufundiaha we have PhD kibao za vijana zinazubaa tu. Kuna list kubwa kwa sasa vijana wa 38 to early 40's wameshapiga PhD . Hao wazee wenu wapishe sasa kama hujaenda shule kamsaidie mamako kufuga nguruwe.

Sorry to say that.
Basi kama siyo kidigrii cha pili ndiyo unachongángánia upewe nafasi kubwa utachoka sanaaaaa. Hizo PhD unazosema zimezagaaa hazina kazi ebu taja hapa wawili unaowajua......Yawezekana hata PhD hujua maana yake...ubishi wa kukariri madesa vijana .....ni aibu sana
 
Nadhani haujajua unaongea na mtu wa level gani BTW Nina Masters mbili MBA na LL.M. nina umri wa kumpasua mamako maana ni 42 sasa. Heshimu wazazi wako sema sababu mmeamua kukosa nidhamu humu basi wacha tukoseane nidhamu.
42 unaongea mbele yangu......Masters hizo unaongea mbele yangu.....ona aibu kijana hujui unaongea na nani.....unajiona hivyo vimasters basi...........hamna lolote kabisa.........bado bado hata robo hujafikia taaluma yangu. kIUMRI BADO MDOGO KWANGU. nDIYO MAANA NASEMA VIJANA MNATOA POVU SANAAA
 
Back
Top Bottom