Zanzibar 2020 Dkt. Mwinyi: Muungano unainufaisha Zanzibar

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,861
Mgombea Urais Zanzibar Kwa tiketi ya CCM, Dkt. Hussein Ally Mwinyi amesema Muungano unaunifaisha Zanzibar.

Amesema kutokana na uchache wa watu wa Zanzibar uzalishaji wa bidhaa zao hutegemea soko Tanzania bara, pia kwa kuwa hawazalishi mazao mengi hutegemea Tanzania bara kuwapelekea vitu.

Mwinyi amesema wako wanaosema kuwa Muungano unawaumiza wazanzibar amesema madai hayo si ya kweli kwa kuwa muungano ndio unaleta maendeleo ya Zanzibar.

Amesema vyombo vya Ulinzi na Usalama ni vya Muungano ndio vinavyotunza amani Zanzibar, pia amesema Muungano umetoa fursa kwa wazanzibar kufanya kazi na biashara bara.
 
Sorry siwezi kuifine tune statement yangu ikawa tofauti, ni kheri angenyamazia masuala ya msingi yanayowagusa wazanzibari.

Sasa ivo vitunguu na mchele vinapatikana Tananyika tuu ? Au kabla ya muungano maisha yote wazanzibari walikuwa wanapata wapi vitunguu ? Kwa elimu ya mtu aliefikisha udaktari halafu akaja na hoja ya vitunguu na mboga mboga kwenye masuala complex kama ya muungano inaumiza kichwa kweli kweli.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom