MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,664
- 6,454
Intelijensia imezaa Nini Kama uchunguzi umewashinda na jalada la uchunguzi lishafungwa? Waliotanua Roma na Mo ni kina Nani?
Hongera Dr Mwigulu kwa kuweka wazi msimamo wa Mhe Rais/serikali punde tu baada ya Lissu kushambuliwa.Watu wanadhani kila hatua ya uchunguzi sharti iwekwe wazi kwa umma wakati kuna taratibu za kiintelijinsia.
Sent using Jamii Forums mobile app