Dkt. Mwigulu Nchemba anajipenyeza kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa Urais

Hivi presidential order of succession nchi hii ikoje, na waziri wa Fedha ni mtu wa ngapi? nalo lipo kwenye rasimu ya Warioba?in this age of biological warfare,unaweza shangaa tunakabidhi nchi kwa Kasheku Geita
Mwigulu ni mafya sana na hana huruma.huko Tunduma waziri wa fedha wapi na wapi,David Silinde achunguzwe ameshaingia kwenye kundi la kimafya na Madelu
 
Hatujawahi kuexperience Rais kufa akiwa madarakani.

Mungu awe pamoja nasi. Amen!
Hii ya akifa Makamu ndo anachukua aisee nayo haifai maana kama Makamu dhaifu au kimeo ni hatari,bora ashike kwa miezi sita kisha turejee kwenye uchaguzi,Ili tupate chaguo la wananchi
 
Bila kuficha Mwigulu anapenyeza kila njia kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa urais.

Magari ya Polisi kwenye msafara na polisi wanaomlinda alipokuwa ziarani Tunduma.
Chakushangaza amegeuka njiani kuwa na misafara ya magari mengi kama naye ni Rais,
Haya sio matumizi mabaya ya muda kwa watumiaji wengine?
Nani yupo nyuma yake aliye ratibu msafara mkubwa hivyo.
Mh Rais Mwigulu si mwema kwako.Muda utasema
Jamaa anajipigia kampeni kiaina.
 
Hii ya akifa Makamu ndo anachukua aisee nayo haifai maana kama Makamu dhaifu au kimeo ni hatari,bora ashike kwa miezi sita kisha turejee kwenye uchaguzi,Ili tupate chaguo la wananchi
Kwa tabia za yule mwenda zake asingekubali mkono wake wa kushoto kuwe na mtu asiye dhaifu.
 
Mwigulu maisha yake yote anategemea kula kwa ajiri ya siasa, na baada ya kuwatukana watanzania na kuwaambia wahamie Burundi nitashangaa sana wakilichagua hili fala
 
Bila kuficha Mwigulu anapenyeza kila njia kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa urais.

Magari ya Polisi kwenye msafara na polisi wanaomlinda alipokuwa ziarani Tunduma.
Chakushangaza amegeuka njiani kuwa na misafara ya magari mengi kama naye ni Rais,
Haya sio matumizi mabaya ya muda kwa watumiaji wengine?
Nani yupo nyuma yake aliye ratibu msafara mkubwa hivyo.
Mh Rais Mwigulu si mwema kwako.Muda utasema
Kwa mara ya kwanza naona waziri wa fedha akifanya siasa badala taaluma . Waziri wa fedha si wa kurandaranda
 
Mwenyekiti wa CCM ndiye anachagua mgombea urais na anapanga tume ya uchaguzi
 
***** zao, wanatupiga kwenye tozo za miamala wakati wao wanazidisha matumizi ya kifisadi. Waziri wa fedha anasimama barabarani kuongea na wananchi kuhusu nini? Ni kipi anachokitafuta? Mama Samia angalia sana mtu huyu ambaye mama yake na dada zake wamekeketwa
Hivi mama yupo kweli?,au atakuwa kaenda kucheck afya.
 
Bila kuficha Mwigulu anapenyeza kila njia kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa urais.

Magari ya Polisi kwenye msafara na polisi wanaomlinda alipokuwa ziarani Tunduma.
Chakushangaza amegeuka njiani kuwa na misafara ya magari mengi kama naye ni Rais,
Haya sio matumizi mabaya ya muda kwa watumiaji wengine?
Nani yupo nyuma yake aliye ratibu msafara mkubwa hivyo.
Mh Rais Mwigulu si mwema kwako.Muda utasema
Mama asipohamka mapema kudili na hawa watu,watamghalimu, mtu Kama Mwigulu nafasi inayomfaa Ni kuwa mkuu wa mkoa tu basi
 
Mwigulu ni mkristo. Anajua Rais ajae ni mkristo. Hivyo anaanza kujifanyia mapema kwa wajumbe. Ila awe makini. Amuulize Lowassa.
Mkristo halafu mwongo sana,akiwa anauza jina kwa viongozi wa dini aliahidi bati huko Iringa,Juzi vyombo vya habari vimemnukuu Kikwete katoa bati badala ya Mwigulu.Mnafiki
 
Mwigulu ni mkristo. Anajua Rais ajae ni mkristo. Hivyo anaanza kujifanyia mapema kwa wajumbe. Ila awe makini. Amuulize Lowassa.
Exactly,na ukichukulia Yule kaongoza kwa awamu moja tu, na huyu inabidi awamu mbili
 
Labda ndiye kipenzi chake na mama tayari ameshajichokea kuongoza na hana mpango wa kugombea 2025 hivyo kampa baraka zake huyo mpita zake afanye hizo sinema.
Chizi wewe, eti Hana mpango wakugombea 2025 , bilashaka we ndio huyo muuaji Nchemba
 
Bila kuficha Mwigulu anapenyeza kila njia kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa urais.

Magari ya Polisi kwenye msafara na polisi wanaomlinda alipokuwa ziarani Tunduma. Chakushangaza amegeuka njiani kuwa na misafara ya magari mengi kama naye ni Rais, haya sio matumizi mabaya ya muda kwa watumiaji wengine?

Je ni nani yupo nyuma yake aliye ratibu msafara mkubwa hivyo?

Mh Rais Mwigulu si mwema kwako.

Muda utasema
Hili nalo linalaza macho tu litapigwa mchana kweupe! Fukuzeni huyo Mwigulu haraka!
 
Back
Top Bottom