Dkt Mwigulu Madelu Nchemba nampa mwaka mmoja tu kama hajahamishwa au kutumbuliwa Wizara ya fedha na uchumi

Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
9,385
2,000
Ramli tu....

Mwigulu aendelee kumtii mh.Rais na kupiga kazi ambayo ANAAMINIKA......

#KaziIendelee
 
Fundi Madirisha

Senior Member
Jun 30, 2020
122
1,000
Mwigulu angepewa Wizara ya Mazingira kidogo anaweza kubadilika lakini siyo wizara nyeti kama ya Fedha. Alipewa mambo ya ndani akaburunda, hii tayari ameburunda pesa zinapigwa yeye hajui.
Hivi hapa Mama Samia alishauriwa na nani.
 
Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
1,483
2,000
Nimejaribu kuangalia pamoja na teuzi nzuri za Mama yetu Mpendwa Rais Samia Suluhu, lakini kwenye wizara nyeti hii ya fedha haijapata watu sahihi. Ndugu yangu Dkt Mwigulu Nchemba ni msomi lakini siye anayetumia usomi wake katika kuchanganua mambo ya kiuchumi na biashara anazidiwa na Zitto Kabwe au Silinde. Hakika hii wizara haihitaji mwanasiasa typical, inahitaji mtu aliyetulia, asiyekua mjanja mjanja, asiye na Visasi,asiye na roho ya kuwazika kila wakati. Mwigulu na Hamad Msauni wote wanauwaza urais 2025, Concentration ya uwaziri itatoka wapi?

Mama kama hajamtimua au kubadilishia Mwigulu wizara ndani ya miezi 6 au mwaka mmoja basi tutarudi kuja kuambizana humu ndani ya mwaka mmoja. Ndugu yetu kutawala hisia zake ni mgumu sana halafu reactions zake nyingi hata mitandaoni zinajulikana.

Mwigulu hamfikii Dkt Philipo Mpango hata 1%. Hii wizara kiukweli haijapata mtu sahihi. Mama majibu utayapata kupitia Makamu wako na muda utaongea.

Anyway, Sina chuki binafsi na ndugu yangu Mwigulu Nchemba lakini kila ninapoyatazama maslahi mapana ya taifa langu naona ni bora kuusema ukweli. Mambo mengine ni hulka hata kubadilika ni ngumu ilitakiwa apewe wizara ya Vijana na mambo ya bunge.
Wizara hii inamfaa Prof Adolph Mkenda, aliwahi kuwa Naibu Katibu Mkuu pale kati ya 2011-15
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
5,369
2,000
Nimejaribu kuangalia pamoja na teuzi nzuri za Mama yetu Mpendwa Rais Samia Suluhu, lakini kwenye wizara nyeti hii ya fedha haijapata watu sahihi. Ndugu yangu Dkt Mwigulu Nchemba ni msomi lakini siye anayetumia usomi wake katika kuchanganua mambo ya kiuchumi na biashara anazidiwa na Zitto Kabwe au Silinde. Hakika hii wizara haihitaji mwanasiasa typical, inahitaji mtu aliyetulia, asiyekua mjanja mjanja, asiye na Visasi,asiye na roho ya kuwazika kila wakati. Mwigulu na Hamad Msauni wote wanauwaza urais 2025, Concentration ya uwaziri itatoka wapi?

Mama kama hajamtimua au kubadilishia Mwigulu wizara ndani ya miezi 6 au mwaka mmoja basi tutarudi kuja kuambizana humu ndani ya mwaka mmoja. Ndugu yetu kutawala hisia zake ni mgumu sana halafu reactions zake nyingi hata mitandaoni zinajulikana.

Mwigulu hamfikii Dkt Philipo Mpango hata 1%. Hii wizara kiukweli haijapata mtu sahihi. Mama majibu utayapata kupitia Makamu wako na muda utaongea.

Anyway, Sina chuki binafsi na ndugu yangu Mwigulu Nchemba lakini kila ninapoyatazama maslahi mapana ya taifa langu naona ni bora kuusema ukweli. Mambo mengine ni hulka hata kubadilika ni ngumu ilitakiwa apewe wizara ya Vijana na mambo ya bunge.
Mwigulu Nchemba hawezi kufika September akiwa Waziri wa Fedha. Hana uwezo wa kazi licha ya kuwa na PhD, worse enough ana majibu ya kuharisha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom