Uchaguzi 2020 Dkt. Mwele Ntuli Malecela anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2020

Mwele yupi huyu aliyetaka kuua utalii kea pesa za wazungu kea kiyaka kusingizia.kuwa tuna ugonjwa wa sars?

Mwele huyu aliyekuwa akipiga Vita kujifukiza na kutetea vipimo feki vya corona kuwa viko vizuri ili tionekane wengi tuna corona ya kufoji? No please
 
Uyu sindie alitumika kuleta taharuki kwamba Tanzania tuna ugonjwa wa Zika?

Sent from my moto g(7) play using JamiiForums mobile app
Ndio huyo huyo sekta ya utalii ingekufa moja kwa moja Kuna tuhuma alihongwa kuua utalii serikali ya Magufuli ikose pesa za kigeni kwa hasira zake za kukosa kuteuliwa ugombea uraisi 2015 Magufuli akaliona akampiga chini hakukuwa na ugonjwa wa zika Wala Nini alitaka tu ku dis tablelize Nchi Magufuli aonekane bogus kea watalii kususa sababu ya ugonjwa wa Zika hewa
 
Sema wewe mwenyew,halafu acha mfumo dume hautakusaidia chochote,wanawake wanaweza,unamjua waziri mkuu wa New Zealand anavyochapa kazi,wewe kariri huko na utamaduni wa kabila lako
Ila ndio ukweli, tunaweza jifanya wanafiki kuwa kuna usawa ila ukweli ninkuwa haiwezekani sababu ni mwanamke na mfumo wote utamkataa! Tusiwe wanafiki na wajua kuwa niko sahihi.
 
Si bora hata tungempa Esta Bulaya au Halima Mdee kwa sababu kuna kinachoonekana wamekijaribu kwa ajili ya watanzania na kwa ajili ya ukuaji wa vipawa vyao vya uongozi,uraisi si taasisi ya kuletwa mtu mradi yupo tu.
Angalau.
 
Duh!!! Kuna jabari Moja huko kisiwani Zanzibar liliwahi sema Uwongozi siyo sehemu ya mpira kwamba kila mtu acheze,yaweza kuwa upo sahihi kwa uchambuzi wako.Lakini sioni haja ya Dr mwele kusumbuka na kuingia hasara bure

Sitaki kusema kwa sauti kwamba hatisho ila Ni vyema akatumikia taifa kupitia taaluma aliyo jaaliwa na mwenyezi Mungu.
 
Duh!!! Kuna jabari Moja huko kisiwani Zanzibar liliwahi sema Uwongozi siyo sehemu ya mpira kwamba kila mtu acheze,yaweza kuwa upo sahihi kwa uchambuzi wako.Lakini sioni haja ya Dr mwele kusumbuka na kuingia hasara bure

Sitaki kusema kwa sauti kwamba hatisho ila Ni vyema akatumikia taifa kupitia taaluma aliyo jaaliwa na mwenyezi Mungu.Huko kwenye Urais bado Sana
 
2020 Oktoba hatufanyi makosa kuwachagua watu ambao wamelifanya Taifa la Tanzania kama kisiwa, hatutaki viongozi ambao wanaingilia kazi za wataalamu.

Dr Mwele, huyu mama anafaa kabisa kuwa kiongozi, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Diplomasia ya nchi yetu ipo chini sana, tunasuguana na mataifa ya nje na taasisi za kimataifa kitu ambacho si kizuri katika uchumi wa nchi.

Kwa kipindi cha miaka 5 Taifa limepoteza mwelekeo, hatuna sera, tunachukua hili likishindikana mabeberu wananyonshewa vidole kumbe kama nchi imekosa plan.

Tanzania bora,yenye uchumi imara inakuja kama huyu Mama atakuwa Rais wa Tanzania.

Dr Mwele karibu Tanzania, wewe ndo mama usiye ogopa chochote, mwanamke imara,unafaa kuwa Rais wa Tanzania kwa sasa, tunakuhitaji Oktoba.

Wanawake tutakusapoti na una kura nyingi za vijana na akina mama.

Oktoba 2020 twende na Dr Mwele Malecela.

Nitashangaa kama kanda ya kati watampinga huyu mama na huku Kanda ya ziwa ni mbele kwa mbele.
Unataka agombee kupitia chama gani? Nauliza kwasababu CCM tayari tunaye JPM?
 
Huyu ni mama wa pili kama atajitokeza kuwania uraisi kupitia CHADEMA!!Naona Chadema wamejiandaa kwa mama kupeperusha bendera ya urais!!!!lakini Mabere marando yupo? anasemaje???
 
Ccm walidhani kukariri kilomita za barabara ndio kujua kuongoza naona ndani ya miaka mitano wamejionea wenyewe.
 
2020 Oktoba hatufanyi makosa kuwachagua watu ambao wamelifanya Taifa la Tanzania kama kisiwa, hatutaki viongozi ambao wanaingilia kazi za wataalamu.

Dr Mwele, huyu mama anafaa kabisa kuwa kiongozi, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Diplomasia ya nchi yetu ipo chini sana, tunasuguana na mataifa ya nje na taasisi za kimataifa kitu ambacho si kizuri katika uchumi wa nchi.

Kwa kipindi cha miaka 5 Taifa limepoteza mwelekeo, hatuna sera, tunachukua hili likishindikana mabeberu wananyonshewa vidole kumbe kama nchi imekosa plan.

Tanzania bora,yenye uchumi imara inakuja kama huyu Mama atakuwa Rais wa Tanzania.

Dr Mwele karibu Tanzania, wewe ndo mama usiye ogopa chochote, mwanamke imara,unafaa kuwa Rais wa Tanzania kwa sasa, tunakuhitaji Oktoba.

Wanawake tutakusapoti na una kura nyingi za vijana na akina mama.

Oktoba 2020 twende na Dr Mwele Malecela.

Nitashangaa kama kanda ya kati watampinga huyu mama na huku Kanda ya ziwa ni mbele kwa mbele.

Nilikuwa Sijui kama Mgonjwa wa Zika anaweza miliki smartphone. Kumbe maajabu. Kuota sio dhambi. Ni ndoto tu. Shida kuota unaiba kwa mpemba then ukishamaliza unaota umelala kwenye gari. Subiri kuamshwa.
 
2020 Oktoba hatufanyi makosa kuwachagua watu ambao wamelifanya Taifa la Tanzania kama kisiwa, hatutaki viongozi ambao wanaingilia kazi za wataalamu.

Dr Mwele, huyu mama anafaa kabisa kuwa kiongozi, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Diplomasia ya nchi yetu ipo chini sana, tunasuguana na mataifa ya nje na taasisi za kimataifa kitu ambacho si kizuri katika uchumi wa nchi.

Kwa kipindi cha miaka 5 Taifa limepoteza mwelekeo, hatuna sera, tunachukua hili likishindikana mabeberu wananyonshewa vidole kumbe kama nchi imekosa plan.

Tanzania bora,yenye uchumi imara inakuja kama huyu Mama atakuwa Rais wa Tanzania.

Dr Mwele karibu Tanzania, wewe ndo mama usiye ogopa chochote, mwanamke imara,unafaa kuwa Rais wa Tanzania kwa sasa, tunakuhitaji Oktoba.

Wanawake tutakusapoti na una kura nyingi za vijana na akina mama.

Oktoba 2020 twende na Dr Mwele Malecela.

Nitashangaa kama kanda ya kati watampinga huyu mama na huku Kanda ya ziwa ni mbele kwa mbele.
Mwenyekiti wa CHADEMA atampigia kampeni huyu na hivyo amepita bila kupingwa! CHADEMA bwana!
 
Watu wanaoendeshwa na mihemko na attention ya media hawafai kua viongozi wakubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom