Dkt. Mwele: Kipimo ulichokicalibrate kwa ajili ya COVID kitapima COVID ukiingiza sampuli ambazo siyo umeivuruga! Majibu yatakuwa hayana mantiki!

Acha falsafa za Plato, Rais kashasema kazi imefanywa na wataalam wa sayansi, usijione wewe ndio unaelewa sana.
 
Habari wakuu

Kuna watu mimi binafsi nawashangaa, wengine ni madaktari kabisa wabobezi wanahaonesha ujuzi wao hadharani ulivyo wa hovyo kwenye hili jambo.

Hivi nikiandaa mtambo kuwa ni kwa ajiri ya kusense vyuma, kitu chochote chenye asili ya chuma (sumaku) harafu nikiweka ndoo ya plastiki kinanatisha kuwa ni chuma, nikiweka hadi mti mkavu unanasa kuwa ni sumaku, hapo tatizo inakuwa nini
-kifaa ni kibovu ?
-mimi nimeoweka plastic kikanasa kwenye kifaa kuwa ni asili ya chuma ndio mjinga ?
-Au tatizo ni nin,? Mtu anayepima ,ifike hatua tujitambue

-nichukue kifaa cha kupima UKIMWI niweke sample ya mbuzi kifaa kisome postive? Tatizo nin nini hapo kama sio kifaa

Au niweke sample ya maji ya papai kwenye kile kifaa cha kupima UKIMWI then ile mistari miwili ijichore that its postive HIV, Tatizo inakuwa kifaa direct kwani kimetengenezwa kwa ajiri ya kupima HIV, so hata ukiweka sample za mbuzi, papai zikasoma postive means hivo vitu tayar vina huo ugonjwa hakiwezi kusoma postive kama hakuna lazima tu, unless hicho kifaa kiwe kibovu ,swali la kujiuliza ni kwanin hivo vitu viwe na virus.

- Hivyo basi, kama kweli vifaa vinaonyesha kuwa papai, mbuzi ni postive corona, basi huu ugonjwa ni wa kusadikika, media zimepaisha tu kuonesha janga, na lazima kuna kundi la watu nyuma wanafaidi na huu mchezo.

-kama vifaa vinaonesha kuna postive corona, basi vipigwe kiberiti haraka sana ba na hatua zichukuliwe kwa wahusika wote waliofanya huo mchezo

-kama ni mchezo wa kisiasa kuwapumbaza watanzania kuhusu ugonjwa wa corona basi, serikali inajiweka hatarini kwa waadhirika ni wananchi, na itawagharimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyetoa taarifa za matokeo ya vipimo vya mapapai amesababisha taharuki kubwa kwenye jamii.

Alaaniwe na kila mwenye pumzi.

Alikuwa na agenda gani hata apeleke sampuli za mbuzi!!!
 
  • Thanks
Reactions: prs
Habari wakuu

Kuna watu mimi binafsi nawashangaa, wengine ni madaktari kabisa wabobezi wanahaonesha ujuzi wao hadharani ulivyo wa hovyo kwenye hili jambo.

Hivi nikiandaa mtambo kuwa ni kwa ajiri ya kusense vyuma, kitu chochote chenye asili ya chuma (sumaku) harafu nikiweka ndoo ya plastiki kinanatisha kuwa ni chuma, nikiweka hadi mti mkavu unanasa kuwa ni sumaku, hapo tatizo inakuwa nini
-kifaa ni kibovu ?
-mimi nimeoweka plastic kikanasa kwenye kifaa kuwa ni asili ya chuma ndio mjinga ?
-Au tatizo ni nin,? Mtu anayepima ,ifike hatua tujitambue

-nichukue kifaa cha kupima UKIMWI niweke sample ya mbuzi kifaa kisome postive? Tatizo nin nini hapo kama sio kifaa

Au niweke sample ya maji ya papai kwenye kile kifaa cha kupima UKIMWI then ile mistari miwili ijichore that its postive HIV, Tatizo inakuwa kifaa direct kwani kimetengenezwa kwa ajiri ya kupima HIV, so hata ukiweka sample za mbuzi, papai zikasoma postive means hivo vitu tayar vina huo ugonjwa hakiwezi kusoma postive kama hakuna lazima tu, unless hicho kifaa kiwe kibovu ,swali la kujiuliza ni kwanin hivo vitu viwe na virus.

- Hivyo basi, kama kweli vifaa vinaonyesha kuwa papai, mbuzi ni postive corona, basi huu ugonjwa ni wa kusadikika, media zimepaisha tu kuonesha janga, na lazima kuna kundi la watu nyuma wanafaidi na huu mchezo.

-kama vifaa vinaonesha kuna postive corona, basi vipigwe kiberiti haraka sana ba na hatua zichukuliwe kwa wahusika wote waliofanya huo mchezo

-kama ni mchezo wa kisiasa kuwapumbaza watanzania kuhusu ugonjwa wa corona basi, serikali inajiweka hatarini kwa waadhirika ni wananchi, na itawagharimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha fikra za kilayman. Hii ni Sayansi. Jikite kwenye hoja halisi, jinsi vifaa vya sayansi ya tiba vinavyofanya kazi. Achana na mifano isiyoishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini unaamini anachosema rais ni sahihi kuwa alipeleka sample ya mapapai?
Vipi kama alipeleka sample za watu na sio anavyosema ili kutimiza malengo yake aliyokusudia?
Kwa nini asichukue sample za hayo mafenesi kiuwazi halafu yapimwe kiuwazi ili tumuamini?
Hayo ni mawazo yako
 
Habari wakuu

Kuna watu mimi binafsi nawashangaa, wengine ni madaktari kabisa wabobezi wanahaonesha ujuzi wao hadharani ulivyo wa hovyo kwenye hili jambo.

Hivi nikiandaa mtambo kuwa ni kwa ajiri ya kusense vyuma, kitu chochote chenye asili ya chuma (sumaku) harafu nikiweka ndoo ya plastiki kinanatisha kuwa ni chuma, nikiweka hadi mti mkavu unanasa kuwa ni sumaku, hapo tatizo inakuwa nini
-kifaa ni kibovu ?
-mimi nimeoweka plastic kikanasa kwenye kifaa kuwa ni asili ya chuma ndio mjinga ?
-Au tatizo ni nin,? Mtu anayepima ,ifike hatua tujitambue

-nichukue kifaa cha kupima UKIMWI niweke sample ya mbuzi kifaa kisome postive? Tatizo nin nini hapo kama sio kifaa

Au niweke sample ya maji ya papai kwenye kile kifaa cha kupima UKIMWI then ile mistari miwili ijichore that its postive HIV, Tatizo inakuwa kifaa direct kwani kimetengenezwa kwa ajiri ya kupima HIV, so hata ukiweka sample za mbuzi, papai zikasoma postive means hivo vitu tayar vina huo ugonjwa hakiwezi kusoma postive kama hakuna lazima tu, unless hicho kifaa kiwe kibovu ,swali la kujiuliza ni kwanin hivo vitu viwe na virus.

- Hivyo basi, kama kweli vifaa vinaonyesha kuwa papai, mbuzi ni postive corona, basi huu ugonjwa ni wa kusadikika, media zimepaisha tu kuonesha janga, na lazima kuna kundi la watu nyuma wanafaidi na huu mchezo.

-kama vifaa vinaonesha kuna postive corona, basi vipigwe kiberiti haraka sana ba na hatua zichukuliwe kwa wahusika wote waliofanya huo mchezo

-kama ni mchezo wa kisiasa kuwapumbaza watanzania kuhusu ugonjwa wa corona basi, serikali inajiweka hatarini kwa waadhirika ni wananchi, na itawagharimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesoma hii

Mwanaume mmoja mkazi wa Mombasa nchini Kenya anayejishughulisha na udereva wa malori yanayosafirisha mizigo kutoka nchi moja kwenda nyingine (transit), amenusurika kupelekwa ‘karantini’ kwa lazima, baada ya kushukiwa kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, mwanaume huyo alikuwa safarini akipeleka mzigo jijini Kampala, Uganda lakini baada ya kufika kwenye mpaka wa nchi hizo mbili, alilazimishwa kupimwa virusi vya Corona na maafisa wa afya pamoja na askari waliopo mpakani hapo na majibu yalipotoka, alidaiwa kuwa na maambukizi.

“Ilibidi arudishwe chini ya escort ya polisi mpaka Mombasa kwa lengo la kwenda kumuweka karantini kwa lazima,” kilieleza chanzo chetu.

Baada ya kufika Mombasa na taratibu za kutaka kumpeleka karantini kuanza, mwanaume huyo aligoma na kutaka kwanza apimwe tena akitumia maelezo ya Rais Dokta John Pombe Magufuli kwamba watu wengine wanapelekwa karantini kutokana na majibu ya vipimo kukosewa.

“Alipaza sauti akisema hawezi kukubali kupelekwa karantini kwa sababu amemsikia Rais wa Tanzania, Dk. Magufuli akisema kwamba baadhi ya mashine huwa zinatoa majibu ya uongo. Alipomtaja Rais Magufuli, ikabidi wale maafisa wa afya wakubali kumpima tena.

“Ajabu ni kwamba majibu yalipotoka, alikutwa akiwa negative kwa maana ya kwamba hana maambukizi, kila mtu akapigwa na butwaa akiwa ni kama haamini. Ikabidi akapimwe tena kwenye mashine nyingine, bado majibu yakawa ni yaleyale, ikabidi wamuachie.

“Aliporudi mtaani, alisikika akishangilia kwa nguvu na kulitaja jina la Rais Magufuli kwamba amewafumbua macho watu wengi kutokana na ubovu wa vipimo vya Corona na kumshukuru sana kwa kumuokoa kupelekwa karantini kimakosa,” kilihitimisha chanzo chetu.
Na Mwandishi Wetu
Magufuli Amuokoa Dereva Wa Lori Asipelekwe ‘Karantini’
 
This is a non scientific comment on her part.We are also scientists, we know this is a stupid comment,and she knows it.Anachojaribu kufanya ni kuwakingia kifua waajiri wake,the Deep State,but this is not the way,kwa kuwa sawa yeye ndiye anayeobekana bogus.

Mwisho tunaomba atuambie anaivurugaje Reverse Transcription Polymerase Chain Reaction(RT-PCR) test kit akiweka sample ya Papai au Mbuzi,asitutee maloloso hapa.
 
Kipimo ulichokicalibrate kwa ajili ya COVID kitapima COVID ukiingiza sampuli ambazo siyo umeivuruga! Majibu yatakuwa hayana mantiki!

Dr Mwele at twitter

calibrate
/ˈkalɪbreɪt/

verb
mark (a gauge or instrument) with a standard scale of readings or correlate the readings of (an instrument) with those of a standard in order to check the instrument's accuracy. Asante Rolimodo @mwelentuliView attachment 1439721
Aisee kumbeeee..
 
Jamani watu wa MD mje mtusaidie, wengine tumebaki watazamaji coz hizo Bioengineering, sijui Biotechnology, na molecular biosciences tunazisikia tu kwenye bomba
 
Kipimo ulichokicalibrate kwa ajili ya COVID kitapima COVID ukiingiza sampuli ambazo siyo umeivuruga! Majibu yatakuwa hayana mantiki!

Dr Mwele at twitter

calibrate
/ˈkalɪbreɪt/

verb
mark (a gauge or instrument) with a standard scale of readings or correlate the readings of (an instrument) with those of a standard in order to check the instrument's accuracy. Asante Rolimodo @mwelentuliView attachment 1439721
"tofauti ya Doctor na Daktari wa kunanii"
 
Hapa Mwele alichemka, maana ya recalibrate ni kuiwezesha mashine kutoa true positive results na si vinginevyo
kwahiyo upo upande wa kupima mapapai na kutpa positive results?

Upo kwenye upande wa mashine ya MRI kuwekewa jiwe na isionyeshe chochote?
Kweli wafia vyama, hasa nyie MATAGA mmefa medula oblongata, walah
 
Bora unyamaze, hujui kitu hapa, utalaam na siasa ni Vitu viwili tofauti. Kachukue form ugombee
kwahiyo upo upande wa kupima mapapai na kutpa positive results?

Upo kwenye upande wa mashine ya MRI kuwekewa jiwe na isionyeshe chochote?
Kweli wafia vyama, hasa nyie MATAGA mmefa medula oblongata, walah
 
kwahiyo upo upande wa kupima mapapai na kutpa positive results?

Upo kwenye upande wa mashine ya MRI kuwekewa jiwe na isionyeshe chochote?
Kweli wafia vyama, hasa nyie MATAGA mmefa medula oblongata, walah
Kama haiwezekani mapapai kuwa postive, iligundulika vp kuwa virus wanaweza kubaki kwenye surface za vitu kama vitasa vya magari, batani za elevetor nk
 
Back
Top Bottom