Dkt. Mwele: Kipimo ulichokicalibrate kwa ajili ya COVID kitapima COVID ukiingiza sampuli ambazo siyo umeivuruga! Majibu yatakuwa hayana mantiki!

Japo mimi sio mwanasayansi, naweza kuwaza mbali kidogo ya ulipofika wewe. Kwa kifupi unawaza kitoto toto sana.

UPT (Urine Pregnant Test) inayotumika kutest ujauzito kwa binadamu, ukiupima mkojo wa mbwa hauwezi kuyapata majibu unayoyatarajia. Sasa ukisema mkojo ni mkojo na kinachotafutwa ni mimba, jikumbushe hii definition ya TABIA. A behavior is a way an organism responds towards a certain stimulus.

Kwenye hii makala yako ndefu umetaja reagents. Kwa maana hiyo unajua kuwa substance inayofanyiwa screening inahitaji stimulation ili majibu yapatikane.

Unadhani kwa nini ile test inaingizwa kwenye njia yako ya hewa na sio njia ya haja kubwa? Haujasikia ng'ombe ana ugonjwa fulani lakini binadamu haumpati hata akila nyama yake?

Suala na transmission ya ugonjwa kutoka hapa kwenda kwingine lina scientific underlying facts nyingi.
Nilichokihitajia ufafanuzi ni ufanyikazi wa mashine inayotumika kupima Corona. Kwamba inaona virus wenyewe ama inaona viashiria?

Kama inaona virus, kwa nini ione virus ambao hawapo?

Kama inaona viashiria, kwa nini ione viashiria sehemu isiyo na corona? (Kwa maana ya kwamba, ukichukua mkojo wa punda, hata maji ya zabibu, au maji ya dhahabu, ukayaweka kwenye UPT ya binadamu, ndio uone mimba ya binadamu?).

Hapa ndipo nilihitaji ufafanuzi tu kwa ajili ya uelewa.

Angalizo, Ninatamani majibu haya tungeyapata kwa wataaluma wa muundo wa hiyo mashine kuliko watumiaji. Watumiaji watatueleza scientific concepts lakini itakuwa vigumu kuzungumzia kwa usahihi technological sides ya hivi vipimo.

Good day.
 
Kipimo ulichokicalibrate kwa ajili ya COVID kitapima COVID ukiingiza sampuli ambazo siyo umeivuruga! Majibu yatakuwa hayana mantiki!

Dr Mwele at twitter

calibrate
/ˈkalɪbreɪt/

verb
mark (a gauge or instrument) with a standard scale of readings or correlate the readings of (an instrument) with those of a standard in order to check the instrument's accuracy. Asante Rolimodo @mwelentuliView attachment 1439721
Tusubiri timu ya Wataalamu iliyoundwa na Waziri ambayo imejaa Maprofesa wabobezi watatupa majibu baada ya uchunguzi wao.
 
Suala na transmission ya ugonjwa kutoka hapa kwenda kwingine lina scientific underlying facts nyingi.
Nilichokihitajia ufafanuzi ni ufanyikazi wa mashine inayotumika kupima Corona. Kwamba inaona virus wenyewe ama inaona viashiria?

Kama inaona virus, kwa nini ione virus ambao hawapo?

Kama inaona viashiria, kwa nini ione viashiria sehemu isiyo na corona? (Kwa maana ya kwamba, ukichukua mkojo wa punda, hata maji ya zabibu, au maji ya dhahabu, ukayaweka kwenye UPT ya binadamu, ndio uone mimba ya binadamu?).

Hapa ndipo nilihitaji ufafanuzi tu kwa ajili ya uelewa.

Angalizo, Ninatamani majibu haya tungeyapata kwa wataaluma wa muundo wa hiyo mashine kuliko watumiaji. Watumiaji watatueleza scientific concepts lakini itakuwa vigumu kuzungumzia kwa usahihi technological sides ya hivi vipimo.

Good day.
How Do the COVID-19 Coronavirus Tests Work?
 
Nawaza tu kwa mfano;Kipimo cha mimba ila utumie mkojo wa mwanaume na si mwanamke
Au wa mtoto mdogo,
What do u expect?!!
 
Habari wakuu

Kuna watu mimi binafsi nawashangaa, wengine ni madaktari kabisa wabobezi wanahaonesha ujuzi wao hadharani ulivyo wa hovyo kwenye hili jambo.

Hivi nikiandaa mtambo kuwa ni kwa ajiri ya kusense vyuma, kitu chochote chenye asili ya chuma (sumaku) harafu nikiweka ndoo ya plastiki kinanatisha kuwa ni chuma, nikiweka hadi mti mkavu unanasa kuwa ni sumaku, hapo tatizo inakuwa nini
-kifaa ni kibovu ?
-mimi nimeoweka plastic kikanasa kwenye kifaa kuwa ni asili ya chuma ndio mjinga ?
-Au tatizo ni nin,? Mtu anayepima ,ifike hatua tujitambue

-nichukue kifaa cha kupima UKIMWI niweke sample ya mbuzi kifaa kisome postive? Tatizo nin nini hapo kama sio kifaa

Au niweke sample ya maji ya papai kwenye kile kifaa cha kupima UKIMWI then ile mistari miwili ijichore that its postive HIV, Tatizo inakuwa kifaa direct kwani kimetengenezwa kwa ajiri ya kupima HIV, so hata ukiweka sample za mbuzi, papai zikasoma postive means hivo vitu tayar vina huo ugonjwa hakiwezi kusoma postive kama hakuna lazima tu, unless hicho kifaa kiwe kibovu ,swali la kujiuliza ni kwanin hivo vitu viwe na virus.

- Hivyo basi, kama kweli vifaa vinaonyesha kuwa papai, mbuzi ni postive corona, basi huu ugonjwa ni wa kusadikika, media zimepaisha tu kuonesha janga, na lazima kuna kundi la watu nyuma wanafaidi na huu mchezo.

-kama vifaa vinaonesha kuna postive corona, basi vipigwe kiberiti haraka sana ba na hatua zichukuliwe kwa wahusika wote waliofanya huo mchezo

-kama ni mchezo wa kisiasa kuwapumbaza watanzania kuhusu ugonjwa wa corona basi, serikali inajiweka hatarini kwa waadhirika ni wananchi, na itawagharimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mission imefeli kwenye corona na imewala pia
 
Hueleweki, mashine inapima damu wewe ukapeleka mavi ikasoma unadamu kibao, ukarudia ikasema sijui, ukarudi hauna damu, ukarudia damu yako haifai nani mjinga wewe au machine.
Acheni ujinga

Tuambieni kama machine hiyo imepelekewa sample za mtu aliye na corona ikapelekewa sample 10 na ikatoa majibu tofauti basi machine ni mbaya lkn papai n linauhusiano gani?
Acheni ujinga kwa papai haiwezi kusoma sawasaw itatoa jibu itakalofikria yenyewe kwa wakati huo.

Kwa mfano nimepeleka sample za mtu ambaye mwanzo ikaeema hana nikapeleka mara kumi ikabadilika hapo machine itakuwa haifai lkn kupeleka samples zisizo ihusu ni utoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mods siku hizi mnalala sana, unganisheni hizi nyuzi zishakuwa kero
 
Mods kuna "software" ipo kama polygraph,developed hapa Russia,inahusika na kutambua mtu mwenye tatizo la akili pale tu anapoanza kuongea au kuandika. Nikipata "source code" yake,nitaomba wataalamu tudevelop ya kwetu kwa ajili ya JF,maana sasa naona kama "Taasisi ya Mirembe" wakazi wake wamehamia humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja.
Vipimo vina mashaka haiwezekani visome positive kwa papai.
Kwa nini unaamini anachosema rais ni sahihi kuwa alipeleka sample ya mapapai?
Vipi kama alipeleka sample za watu na sio anavyosema ili kutimiza malengo yake aliyokusudia?
Kwa nini asichukue sample za hayo mafenesi kiuwazi halafu yapimwe kiuwazi ili tumuamini?
 
Back
Top Bottom