Dkt. Mwaka akiri kulala na wakeze wawili chumba kimoja. Ashikwa kigugumizi kuhusu kushiriki nao tendo kwa pamoja 'Threesome'

Kuna video zinatembea zikionesha wake wawili wa Daktari wa tiba asili Dr Mwaka, jinsi wanavyopendana. Kifupi Dr Mwaka ana wake watatu ila watatu hakuwepo wawili wakihojiwa.

Wanapendana mno na wanaitana kipe yani kipenzi. Wanadai wanalala kitanda kimoja wote na mume wao. Dr Mwaka anadai alipitia kipindi kigumu miaka miwili kutokana na saga lake na Kigwangala, lakini warembo wake wote watatu waliendelea kumng'ang'ania bila kukata tamaa.

Wamama ama mabinti hawa wamesisitiza ndoa za kislamu ziige mfano wao.
 
Kheeee kila siku wanandoa ina maana wanafanya mapenzi
Wewe ulivyomsikia huyo Mwaka alisema analala na wake zake kwa vipindi au alisema analala nao siku zote? Unataka kusema yeye Mwaka hafanyi mapenzi na wake zake?
 
Wanaweke kuanzia lini wanapendana, wanapendana kwa maneno, lakini ndani ya mioyo yao kile 1 yupo mbali na mwezake. Kila mmoja anawaza yaliyo mabaya kwa mwezake.

Hiyo ndo asili ya wanawake.
 
Back
Top Bottom