Dkt. Mpango simama kwenye safu yako, mwache Rais afanye kazi yake

Mheshimiwa tunakuomba usimame kwenye safu yako.
Mwache mh Suluhu afanyekazi aliyotumwa.
Usilete mfumo dume utakao mmeza Rais mama Samia akashindwa kutekeleza yampasayo.

Nimekuona na kuusikiliza wakati wa kuthibitishwa na bunge na baada ya kuapishwa.
Kuna viashiria vya kujiona ndiye Rais kamili.
Tunakufahamu vizuri sana wewe binafsi lakini kama haitoshi waha ni watu wataka kitawala na kuongoza na siyo kuongozwa.

Tabia hii ndiyo inayowapa kina Zitto, kafulila, machali na wengine.
Kwa hayati chukua yaliyomema ambayo watu wamelalakia yaache kabisa
Kimsingi anaharibu sn kuliko kutengeneza
 
Mipango amesahau law inayo SEMA never outshine your master,Sasa naona ana muona mama si kitu yeye ni top mbona kwa jiwe alikuwa hafurukuti hata chembe alikuwa ka kondoo. Dah mama awe strictly asiruhusu watu kumu outshine au kumu undermine kwa jinsia yake loh
 
Shida iko kwako na wengine wa namna yako

Mna tatizo la akili la hofu pamoja na wivu dhidi Daktari wa Uchumi Philip Isdory Mpango
 
Mnamuogopa sana Mpango
 
Shida iko kwako na wengine wa namna yako

Mna tatizo la akili la hofu pamoja na wivu dhidi Daktari wa Uchumi Philip Isdory Mpango
Kwani sisi tunakula kutokana na yeye?
Tumia akili ulizobaki nazo kidogo
Maana nyingi kaondoka nazo mwendazake.
Sasa hivi nchi tutaiongoza wote siyo mtu mmoja kama mlivyozoea nyamafu nyie
 
Kama wasemavyo wahenga paka akiondoka panya hujitawala ndivyo unavyoweza kusema kwa Kigwangala.
Corona ipo kwa zaidi ya mwaka ,waliokuwa wamefanya lockdown wamechoka, waliochanjwa wamechoka ,wanaovaa barakoa za N95 wamechoka.
Jana tabibu mkuu huko Uingereza amesema wamechoka na wameamua wataishi na Corona kama mafua ya msimu tu.

Yote haya yakiwa yanatokea duniani, huku kwetu Tanzania anatokea Kigwangala na kuwataka Muhimbili waachane na tiba mbadala na viongozi wavae barakoa na watanzania wote tuchanjwe.!
Kigwangala fafanua tuchanjwe chanjo ya wave ipi ya Corona? Kumbuka sasa hivi tuko third wave of Corona na chanjo feki zimetapakaa kila kona.

Maana yake huyu Kigwangala angekuwa rais tungelazimishwa kuvaa barakoa za N95 nchi nzima ,lockdown nchi nzima huyu ni
mzee wa copy and paste.

Bila shaka Kigwangala anatumika na atakuwa amelipwa hela nzuri ili apigie debe hizi chanjo!, lakini hao wanaomtumia wamechelewa maana kote duniani watu wameamka na wanakubali hayati Dr Magufuli alikuwa sahihi kwenye mbinu za kukabiliana na hili gonjwa.
Umeandika vizuri ila bado una mawazo tegemezi sana hapo mwisho umemalizia vibaya kiasi kwamba umeharibu chote ulichoandika.
 
Mipango amesahau law inayo SEMA never outshine your master,Sasa naona ana muona mama si kitu yeye ni top mbona kwa jiwe alikuwa hafurukuti hata chembe alikuwa ka kondoo. Dah mama awe strictly asiruhusu watu kumu outshine au kumu undermine kwa jinsia yake loh
Hayo yote uliyoandika ni Mipangophobia (Hofu dhidi ya Dkt. Mipango) kila mumsikiapo ama kumuona
 
Sina cha kumhofia chochote asome kitabu Cha 48 laws of power maana ajiona Raisi mkuu, ka siku ile ya kuapishwa mawaziri ana over due. So usiseme ni wivu mbona enzi za jiwe hakuwa hvo.
Hafu na wewe ni chawa wake pro max inaonyesha
 
Back
Top Bottom