gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,191
- 5,760
Acha blah blah wewe.hivi unajua maana ya kua kiongozi wa nchi au unaleta porojo.Wanao comment wote humu kusema eti Mpango ni dhaifu, hawana AKILI timam! Ni WAJINGA wa Dunia nzima wasiojua hekima za Uongozi.
Lakin pia nadhan wanaosema Dr. Mpango ameonesha Udhaifu kwa kauli yake, wanatumia viongo vya kati kufikiri.
Dr. Mpango alipokua akitamka kauli nzito kuhusu nchi, MAZUZU mlikuja juu, mkadai eti yeye sio Rais hivyo asijikweze kana kwamba yeye ni Raisi eti awe na mipaka. Sasa leo amejishusha kwa Raisi na kua mnyenyekevu, mnasema ameonesha Udhaifu.!.
Mlitaka asemeje!
Aseme Yeye ni zaidi ya Rais.?! Atambe kua kipindi mama Samia hayupo ameweza kuiongoza nchi kuliko mama Samia?!!!
Mbona mnajitoa ufaham kirahis ivo!!
Hiyo kauli ya Dr. Mpango ni kauli yenye hekima na utiifu kwa Raisi na yenye kumfariji mama katika Uongozi wake kwamba anaweza na sio kumkatisha tamaa.
Dr Mpango chapa kazi, mama Samia chapa kazi!
Hizo ni kelele za vyula kwenye bwawa wanaoshangilia jinsi bwawa lilivyojaa mayai kulingana na shughuli waliyoifanya ktk bwawa hilo.
Vyula Oyeeeeeeeeee!