Dkt. Mpango muoneshe Waziri wa Fedha wapi ulikuwa unapata pesa za kufanya miradi ili asiumize wananchi

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542
Naomba utawala huu uwe makini sana katika maamuzi yanayokwenda kugusa maisha ya Mtanzania kwa sababu Watanzania bado wanamachungu sana na majonzi sasa Serikali iliyopo badala ya kutufariji inatuongezea tabu.

Muwaulize wenzenu walikuwa wanakusanya wapi kodi mnasababisha mfumuko wa bei usio wa lazima kisingizio mnasema miladi huo ni UJINGA huo uchumi gani mliosomea huo ondoeni kodi kwenye mafuta na miamala ya simu.
 
"Kukopa kwa wingi huku tukisema tunatumia hela za ndani + ukwapuaji wa hela za watu benki kwa kutumia mtutu"

Unataka Mwigulu aturudishe huku?
 
Mjenga nchi ni mwananchi tulipe kodi.
Inshu sio kulipa kodi bali ni matumizi ya hizo kodi!!mnakamuliwa kweli kulipa kodi, kesho mnasikia jamaa wamezipiga inaundwa tume, unaambiwa pesa zilitumika nje ya bajeti!!tayari limeisha hilo!!kwanini wazungu kitendo cha kukwepa kodi anaona ni kama aibu kwake?!!ila kwetu ni sifa?
 
Kingine ni kwamba CAG wanatenda kazi zao. Wanaandika ripoti zilizojaa wizi na ubadhirifu mkubwa wa trillions lakini Bunge linadharau na Serikali inadharau hakuna anayewajibishwa.

Inshu sio kulipa kodi bali ni matumizi ya hizo kodi!!mnakamuliwa kweli kulipa kodi, kesho mnasikia jamaa wamezipiga inaundwa tume, unaambiwa pesa zilitumika nje ya bajeti!!tayari limeisha hilo!!kwanini wazungu kitendo cha kukwepa kodi anaona ni kama aibu kwake?!!ila kwetu ni sifa?
 
Naomba utawala huu uwe makini sana katika maamuzi yanayokwenda kugusa maisha ya Mtanzania ,kwa sababu Watanzania bado wanamachungu sana na majonzi sasa serikali iliyopo badala ya kutufariji inatuongezea tabu, muwaulize wenzenu walikuwa wanakusanya wapi kodi mnasababisha mfumuko wa bei usio wa lazima kisingizio mnasema miladi huo ni UJINGA huo uchumi gani mliosomea huo ondoeni kodi kwenye mafuta na miamala ya simu.
Muamala wa mkopo wa benki umeshakata ndugu.

Bila kusahau zile nyingine kutoka kwa wafanyabiashara waliokuwa wakiporwa pesa zao na wakaamua kufunga biashara zao nchini!!

Anthony Diallo hakukosea kabisa aisee kisemeo kimewekwa sikioni badala ya mdomoni!! :D :D :D :D

1626024588103.png
 
report za deni la Taifa ambazo zinasomwa kila siku wewe huwa husikilizi Magufuli alikuta deni la Taifa ni 35T ndani ya miaka yake 5 hafi anafariki lilikuwa 60T huku Kikwete kwa miaka yake 10 alikopa 25T tu.
Maana yake ni huyo Mpango anayemsifia kazi yake ilikuwa ni kukopa
Mpango sawa na mwigulu ni bookish intellectual hawana ubunifu wowote sijui kwanin watu huwa wanawasifia sana
 
Ko tuendelee kudhulumiwa fedha zetu bank, kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi, kupora pesa kwa matajiri na kuto wapa wafanyakazi stahiki zao maana fedha zao ndo zilitokea huko si ndio. Bora maisha ya amani ukiwa masikin kuliko kupewa kila kitu lkn unaishi kama digidigi.

Simba akikuona tuu unageuzwa kitoweo.
 
Unataka tena Watu wafiche hela zao uvunguni?

Ngoja kwanza warudishe zile walizotoa TRA kimakosa kwenye akaunti za kina Mbowe. Nadhani umenielewa ni wapi alikuwa anatoa

Ni afadhali wenye nazo watoe zaidi kuliko kukamua usaha wenye damu kwa masikini.
 
Back
Top Bottom