Dkt. Mpango: Kuna wana CCM wanahujumu ujenzi wa SGR na Bwawa la Nyerere

Tatizo mama (make no mistakes, Magufuli alikuwa na mapungufu yake).

Pamoja na hayo utendaji wa Bashiru ulikuwa unalenga kuvua gamba, mama anashauriwa alivae gamba.

Tumerudi tena kwenye experimental leadership.

Nakupa mfano mmoja uwezi endesha shirika kama TANESCO bila ya electrical engineers technocrats on your side; it’s just not going to work bila ya ushauri wao when you are trying to do troubleshooting.

Body aina engineer hata mmoja, mkurugenzi sio engineer.How do you know your decisions are sound, Without an ally expert to consult with; I am telling you JM is pathetic.

To sort that mess if you were the new ‘managing director’ coming from outside the internal technocrat of engineers.

Kitu kikubwa unachoweza anza nacho ni kuchunguza tatizo ni nini and to do that you need first to assess ‘quality costs’ and all that info is in the financial statement and measures taken already; ujue what is your next strategic move.

Kama una maswali ya ziada, hatua zingine you need an expert input to plan appropriately.

Ukishajua what is wrong unapanga mipango yako ya muda mfupi, kati na ya muda refu; you can’t fix TANESCO problems overnight.

Sasa wewe huna mtaalamu ata mmoja at board level how is that going to work.

Umeme ni kitega uchumi muhimu cha taifa na huyo waziri wake ni mbumbumbu kwa alivyoanza tu; kitu ambacho ni hatari wa hiyo sector.

JM analeta ujuaji wakati hana ata basic elementary skills za kuendesha biashara ndogo let alone shirika la umeme.

Watch how this ship sinks, sio muda mrefu kila mtu ataanza kulia mama ni shida.

As for me sina shida na kiongozi yoyote mafanikio yake kwenye kutatua kero zetu ndio faida kwangu.

Hatua za awali alizoshauriwa huyo mama rudisha Bashiru katika nafasi ya ushauri jinsi ya kuisimamia CCM na Jaffo TAMISEMI ataki aache but this ship is sinking.

As for JM watch this space anaenda iharibu TANESCO na hiyo wizara aijawahi tokea; ukisoma tu post zao za Twitter na ujinga wao unajisemea tu, god forbid.

Hao mashangazi ndio shida wanamcheka kinoma eti Mwigulu tozo za mafuta zimeshushwa bila ya yeye kushirikishwa, wakati tozo zenyewe hazina uhusiano wowote na makusanyo ya serikali for the most part ni admin fees; ujinga wa wale watu mnaowatukuza is beyond me.

Hivi mtu na akili zako timamu unaweza msikiliza mtu anae ongea upuuzi kama Maria Sarungi na Fatma Karume.

Umetaja Bashiru na Jaffo sasa kwa nini pasiwepo namna flani ya kusaidia viongozi wa aina hii kwa faida ya Taifa hili maana upinzani wa Tanzania is doomed.
 
Huwezi kufanikiwa kwa kuishi unabembeleza wajinga na wapumbavu.... Bila unyama na ukatili hiyo miradi huwezi kuimaliza na hata kuimaliza utakuwa umekula hasara kubwa sana..

unataka kucompromise na mpumbavu ili iweje?.. yeye amekukwamisha halafu wewe unambembeleza baadala na wewe kumkwamisha...
 
Hiyo ilishaliwa na wanachukua chako mapema wenzio🏃
Kama ni kweli naona watu bado wanafanya utani sana na hii Nchi ! Haiwezekani wote tuwe sawa na ukoo wa panya !! Lazima wawepo CLEAN PEOPLE ndio tutapata maendeleo makubwa !! Vinginevyo tutasubiri sana !!
 
Cha kusikitisha mradi uko chini ya ulinzi wa jeshi JWTZ, BADO HUJUMA ZINAFANYIKA.
JANUARY MAKAMBA MUNGU ANAKUONA
 
Back
Top Bottom