Hamishia mambo ya dini jukwaa husika, kama huna hoja za kisayansi si lazima kuchangia.Wewe hujui sababu na nini maana ya Damu ya Mwana wa Mungu kumwagika pale msalabani. Hivyo sishangai kuita mtu mchafu. Sauli ima Paulo alikuwa mchafu na ziko imani zinamuita alikuwa Jahili.
Damu ya Mwana kondoo wa Mungu (YESU KRISTO )'Mungu'aliye uvaa mwili wa uwanadamu ili hatimaye huo mwili umwage damu ya kafara ya ukombozi wa mwanadamu aliye chafuliwa na dhambi ilimtakasa jabali huyu wa Kiroho. Hao uwaitao wachafu wameoshwa na Damu ya Bwana Yesu.
Wachafu ni wapi? Ni wale wanaomwaga damu za njiwa, kuku, mbusi, kondoo, watu, nk kuinajizi ardhi ya nchi, huku wakijua fika hakuna damu nyingine ya utakaso baada ya ile ya Yesu Kristo kumwagika pale Msalabani calvary. Utakaso wa dhambi utaupata tu pale utakapo mkubali/ mpoke Bwana Yesu, ukatubu dhambi zako, na ukabatizwa kwa Jina la Baba na Mwana na la Roho Mtakatifu kwa maji, na kwa Roho na Moto.