Dkt. Mollel awafunda wafamasia wapya ili wawe wabunifu wasiishie kufanya kazi ya kutoa dawa pekee

Wizara ya Afya Tanzania

Official Account
Oct 1, 2020
58
124


Naibu Waziri wa Afya, Maendeleoya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amewata wafamasia walioingia rasmi leo kwenye taaluma hiyo wasisubiri kufanya kazi za kuingiza dawa au kumpatia mgonjwa dawa bali wametakiwa kuwa wabunifu kwa kutengeneza dawa kwenye maeneo yao kazi ili kuweza kuipunguzia gharama Serikali
 
Back
Top Bottom