Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Makonda, Gwajima nao ni watanzania ila ukifanya jambo la hovyo lazima watu wazungumze, Trumph, Bashir, Museven sio raia lakini nao tunawaandama pia kwa kuwa some times wana ya hovyo..
Taja jambo moja la ovyo ambalo una uhakika Jack amelitenda.
 
Sasa hutaki? Ndo lilikuepo sasa bifu, kwani sasa wanavosema Klyn alikuwa anagongwa na Hussein na hata walinzi wa Mzee we unachukuliaje? Bifu kwenye mapenzi halijalishi tajiri wala maskini, kwa sababu viungo vinafanana, na huyo Klyn wamekula vijana wengi tu hata madereva taxi, sasa hutaki?
Kwa jinsi ulivyoorodhesha wagongaji. Bila shaka ulikuwa unamshikia andawea wakati wa mikito.
 
Haikuwa rahisi.. Ulikuwa ni ugomvi mzito.. Pesa ikashinda..

Kinje alimsaidia Jacky ku-maintain maisha classic ya mjini, career yake ya mitindo/music na kumpatia exposure..

Mengi alikuwa ana ofisi yake maalum ya kufanya mikutano na vijana waliokuwa wakihitaji 'kusapotiwa'. Wengi walipata msaada wake. Nilicheka nilivyosikia Jacky anasema walikutana kwenye ndege! Hassanali anajua zaidi..

Msimu huo ulikuwa ni vita pia kwa wadada wa mjini.. Wenyewe waliita mawindo.. Kila mmoja alitaka kupata a finer catch..

Zile nyimbo za K-Lyinn mostly zilimhusu Kinje na madongo kwa mashosti zake... Mambo ya kuporana wanaume..

Pale Makumbusho jirani na eagle wing kuna members only club.. MPs, Ministers, CEOs, Moguls, Dons na Diplomats wanaenda kurefresh.. VIPs only.. PIMPs wa enzi hizo wanajua zaidi... Da' Mange naye kachezea sana mikasi pale.. Niishie hapo. Sitaki kuharibu swaum za watu!

Bifu la Kinje na Mengi halikuwa la kibiashara!
Hapo kwenye red, unamaanisha kuna watanzania pia waliomla Mange?
 
Hapo kwenye red, unamaanisha kuna watanzania pia waliomla Mange?
Ah wengi sana.. Mange alikuwa mdangaji and very proud of it. Mtanzania mmoja alimla mpaka akazaa nae mtoto wa kwanza anaitwa Bhoke. Jamaa alikuwa muuza sura maarufu anaitwa Frank Gonga.

Huyo Bhoke ni cheusi mangala ndio maana Mange hapendi kumwonyesha sana mitandaoni
 
Mkuu hapo kwenye cheusi mangala na kwamba hapendi kumpost hauko sahihi.
Kipindi akiwa anaishi na huyo binti kampost sana Kwenye page yake na alikuwa anampenda mtoto wake.
 
Bhahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaa
 
Mkuu hapo kwenye cheusi mangala na kwamba hapendi kumpost hauko sahihi.
Kipindi akiwa anaishi na huyo binti kampost sana Kwenye page yake na alikuwa anampenda mtoto wake.
Mkuu, alianza kumpost kipindi hicho to try & prove people wrong baada ya watu fulani kumsema kwanini anamtenga sana au she is ashamed of her? (sister ana mentality kuthamini wazungu mpaka imepitiliza).

Halafu hukuti anajitambulisha kama mama bhoke. Mara nyingi yeye ni Keanu au Kenzo tu.

Huu sasa udaku!
 
Daah hizo members only places hua zinaniuma sana roho wakati mkongwe nimedumu tangu enzi za kamnyonge bar pale kawe ukwamani, mwenge dcc, na saivi bata langu ni kamwene pub. Kweli kuna watu wanaishi,wengi tunadumu.
 
Back
Top Bottom