Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 13,550
- 16,631
Taja jambo moja la ovyo ambalo una uhakika Jack amelitenda.Makonda, Gwajima nao ni watanzania ila ukifanya jambo la hovyo lazima watu wazungumze, Trumph, Bashir, Museven sio raia lakini nao tunawaandama pia kwa kuwa some times wana ya hovyo..