Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,936
- 40,518
Sylvia bahame ama
Yes, huyo huyo.
Sylvia bahame ama
Write your reply...Hivi yule Monifinance na Jose Mara ndoa ilivunjika nini? Naona kila mtu kivyake.
dah! jojo naye mzee machache alipita nayeila foleni yao ndefu, jojo, madam, magese haya ndio akaja mjane Jaky
Halafu unaambiwa eti ss hivi ndio yupo hivi?!,the world is not fearNdo huyu Kumbe fiderin
FL M ndio nan huyo wazee?,taja hata jina moja?Kwamba na FL M nae alikua akiuzwaga pia?
Katika jisongi la Mangwear CNN katika chorus anasema na "Warembo wakali matata kama FLavy..."FL M ndio nan huyo wazee?,taja hata jina moja?
Siyo lazima kutumwa, hii inaitwa Celebrities forum ndo maana na wewe hukauki kushinda hapaUmetumwa na nani? Halafu nini cha ajabu ?
Duh, hii post nai-screenshot kabisa niisevu kwenye Google Drive.
It means a lot to me.
So humbled, ubarikiwe.
Huko mnakoelekea Mungu pekee ndo shahidi, na Mods wa JF😅Ahsante pia sikufahamu lakini naona ni mtu mstaarabu the way unavyojibu watu wengine... Unajibu kihekima zaidi
Sasa hutaki? Ndo lilikuepo sasa bifu, kwani sasa wanavosema Klyn alikuwa anagongwa na Hussein na hata walinzi wa Mzee we unachukuliaje? Bifu kwenye mapenzi halijalishi tajiri wala maskini, kwa sababu viungo vinafanana, na huyo Klyn wamekula vijana wengi tu hata madereva taxi, sasa hutaki?Write your reply... eti bifu Kinje na mengi, kumfananisha mengi na kinje ni kama kufananisha simtank na ziwa victoria
Okay thanx nimekupata mkuuuKatika jisongi la Mangwear CNN katika chorus anasema na "Warembo wakali matata kama FLavy..."
Dah kumbe alikuwa na bastora za kutosha,jasiri mwongoza njia hakutelezesha kweli hapa?Ndo huyu Kumbe fiderin
Duh!!!!Halafu unaambiwa eti ss hivi ndio yupo hivi?!,the world is not fearView attachment 1098115View attachment 1098116
Miaka uliyoweka hapo juu nakumbuka Bss ya madam ndio ilikuwa inaanza akawa anafanyia Itv inamaana kipindi hiyo alikuwa bado hajawa na ukaribu na madam?nilijuwa miaka hiyo ndio walikuwa karibu ndio maana akapata shavu la kipindi chake kurushwa pale.
Lokole ni mtangazaji kumbendio, kile kipindi cha ukosoaji kilimletea balaa, tena dada mkubwa kaileta hivi karibuni wakat anakosoa kipindi cha Mai na Lokole "nipe code", akasema hawatodum wamuulize Salama yalomkutaa
Pamoja mkuu nimeipitia miaka uliyoandika ndio alikuwa na ukaribu na huyo Lilian.Kuna hii thread ya 2009 inaweza kukupa picha kidogo, ndiyo nimeiona baada ya kusearch.
"Moto umewawakia, hawawezi kuuzima" - Mengi
TAARIFA YA BW. REGINALD A. MENGI, MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP LIMITED KWA VYOMBO VYA HABARI Kwa muda mrefu sasa, magazeti yanayofadhiliwa na watuhumiwa wa ufisadi yamekuwa yakiandika mambo mengi yaliyojaa fitina na uongo dhidi yangu na familia yangu. Kwa mfano:- • Mengi...www.jamiiforums.com
Afu leo wanasema Jacky kamuuaPamoja mkuu nimeipitia miaka uliyoandika ndio alikuwa na ukaribu na huyo Lilian.
Kumbe mzee alianza na madam akabwagasha ndio akaja kwa huyo Lilian baadaye ndipo akaja kwa Jack.Kuna maelezo yalitolewa na mkuu mmoja kwenye huo uzi nimefanya kuyacopy
Pamoja na yote haya kwenda kuoa mtoto wa umri
tena mdogo kuliko watoto wako unategemea
nini??? Ni kama yale ya Mugabe!!!!! Sasa kama
binti aliweka picha face book yake si ushamba
huo??? Hayo ni mambo ya private sana hasa
ukizingatia Mengi ni married and he is still married
to his first wife until wameagree divorce. Kitu
ambacho yule mama hana mpango nacho. Huu ni
ulimbukeni kutaka kupata umaarufu kwa kuwa
ameolewa na tycoon. Sasa yameshauanza moto
na kuuzima hawatauweza. Kibao kimewageukia.
Kitu ninachoomba ni kwamba Mengi aache kwenda
kwenye majukwa ya dini na vimchango vyake. Ni
dharau kwa Mungu. Wachungaji wote Tanzania
wanajua kuwa Mengi hana ndoa iliyosimama na
mke wake wa ndoa?? Je wamemsaidia kiasi gani
kusuluhisa ile ndoa?? Au wanamwogopa maana
wakiuliza watanyimwa pesa??? Hapa kidogo
masuala ya hizi dini na utajiri wa mtu linanipa
shida sana. Mchungaji wa kweli ni lazima
ahakikishe kondoo wake wako salama. Kwa
maisha ha Mengi ya kuwa na vimada na uzinzi
mwingi sana hapa mjini ilitosha kabisa kumfungia
shughuli za kikanisa. Mimi nikimwona akisimama
katika hizi harambee za dini huwa nazima tv, ni
mnafiki hafai.
Huwa namtetea sana Mengi kwenye issues nyingi
za kumpinga ila kwa hili la kuoa na kuacha na
kuanza ku date mabinti wadogo (kuna watu
wanamkuadia mabinti na inajulikana) ni aibu. Sijua
kwa nini hakupata fundisho kwa madame Ritta.
Kama alitofautian na mke wa ndoa basi angetafuta
angalao a descent woman mwenye umri wa
kuheshimika ndipo aishi naye tena ki silencer.
Huyu Lilian pia is not a descent kid!!!!! Ana
wanaume kibao hapa mjini!!!! Wakati anasoma
sheria chuo alikuwa ameshaolewa tayari, na jamaa
mwenye uwezo tu na alikuwa anakuja na usafiri
mzuri tu (self drive) na alikwa amezaa tayari. Je
yule mume wameshatalikiana??? Ukweli ni kwamba
hata mumewe wa awali alishindwa kuishi na huyu
dada maana ni Kicheche cha ngono. Eti Mengi
naye anaona kaoa, pengine labda kwa show off tu.
Wana JF inapokuwa tunasema ukweli kuhusu
jambo tuwe makini kutetea hata lile ambalo ni
kinyume na maadili. Tena wale vipenzi wa Mengi
mliomo humu naomba mtafuteni mpeni
counselling ya maisha. Amefanikiwa sana
kibiashara lakini si kifamilia na kimaisha kwa
ujumla. Mafanikio ya mwanaume ni jinsi gani
ameweza kuwa na familia imara na si kiasi cha
liquid and non-liguid assets. It is too much and
greedy for him.
Askofu Malasusa, Laizer na wengine wanasemaje
kwa hili??? Hivi anathubutu kukaa naye high table
kwenye fund raising za KKKT?? Watu wamefanya
dini biashara.Wachungaji na maaskofu wa zamani
wasingekubali hata Mengi kuwasogelea. Ameudhi
hata wanawe kwani kila siku baba ni kubadilisha
wanawake kama kanga au magauni??? it is too
much fo them.
Sioni cha ajabu, hata sisi wa hali za chini hizo bifu ni common.
Inamana klyn akiliwa mimi nahusika vipi hapo??? Au unawashwa?Sasa hutaki? Ndo lilikuepo sasa bifu, kwani sasa wanavosema Klyn alikuwa anagongwa na Hussein na hata walinzi wa Mzee we unachukuliaje? Bifu kwenye mapenzi halijalishi tajiri wala maskini, kwa sababu viungo vinafanana, na huyo Klyn wamekula vijana wengi tu hata madereva taxi, sasa hutaki?
Pamoja mkuu nimeipitia miaka uliyoandika ndio alikuwa na ukaribu na huyo Lilian.
Kumbe mzee alianza na madam akabwagasha ndio akaja kwa huyo Lilian baadaye ndipo akaja kwa Jack.Kuna maelezo yalitolewa na mkuu mmoja kwenye huo uzi nimefanya kuyacopy
Pamoja na yote haya kwenda kuoa mtoto wa umri
tena mdogo kuliko watoto wako unategemea
nini??? Ni kama yale ya Mugabe!!!!! Sasa kama
binti aliweka picha face book yake si ushamba
huo??? Hayo ni mambo ya private sana hasa
ukizingatia Mengi ni married and he is still married
to his first wife until wameagree divorce. Kitu
ambacho yule mama hana mpango nacho. Huu ni
ulimbukeni kutaka kupata umaarufu kwa kuwa
ameolewa na tycoon. Sasa yameshauanza moto
na kuuzima hawatauweza. Kibao kimewageukia.
Kitu ninachoomba ni kwamba Mengi aache kwenda
kwenye majukwa ya dini na vimchango vyake. Ni
dharau kwa Mungu. Wachungaji wote Tanzania
wanajua kuwa Mengi hana ndoa iliyosimama na
mke wake wa ndoa?? Je wamemsaidia kiasi gani
kusuluhisa ile ndoa?? Au wanamwogopa maana
wakiuliza watanyimwa pesa??? Hapa kidogo
masuala ya hizi dini na utajiri wa mtu linanipa
shida sana. Mchungaji wa kweli ni lazima
ahakikishe kondoo wake wako salama. Kwa
maisha ha Mengi ya kuwa na vimada na uzinzi
mwingi sana hapa mjini ilitosha kabisa kumfungia
shughuli za kikanisa. Mimi nikimwona akisimama
katika hizi harambee za dini huwa nazima tv, ni
mnafiki hafai.
Huwa namtetea sana Mengi kwenye issues nyingi
za kumpinga ila kwa hili la kuoa na kuacha na
kuanza ku date mabinti wadogo (kuna watu
wanamkuadia mabinti na inajulikana) ni aibu. Sijua
kwa nini hakupata fundisho kwa madame Ritta.
Kama alitofautian na mke wa ndoa basi angetafuta
angalao a descent woman mwenye umri wa
kuheshimika ndipo aishi naye tena ki silencer.
Huyu Lilian pia is not a descent kid!!!!! Ana
wanaume kibao hapa mjini!!!! Wakati anasoma
sheria chuo alikuwa ameshaolewa tayari, na jamaa
mwenye uwezo tu na alikuwa anakuja na usafiri
mzuri tu (self drive) na alikwa amezaa tayari. Je
yule mume wameshatalikiana??? Ukweli ni kwamba
hata mumewe wa awali alishindwa kuishi na huyu
dada maana ni Kicheche cha ngono. Eti Mengi
naye anaona kaoa, pengine labda kwa show off tu.
Wana JF inapokuwa tunasema ukweli kuhusu
jambo tuwe makini kutetea hata lile ambalo ni
kinyume na maadili. Tena wale vipenzi wa Mengi
mliomo humu naomba mtafuteni mpeni
counselling ya maisha. Amefanikiwa sana
kibiashara lakini si kifamilia na kimaisha kwa
ujumla. Mafanikio ya mwanaume ni jinsi gani
ameweza kuwa na familia imara na si kiasi cha
liquid and non-liguid assets. It is too much and
greedy for him.
Askofu Malasusa, Laizer na wengine wanasemaje
kwa hili??? Hivi anathubutu kukaa naye high table
kwenye fund raising za KKKT?? Watu wamefanya
dini biashara.Wachungaji na maaskofu wa zamani
wasingekubali hata Mengi kuwasogelea. Ameudhi
hata wanawe kwani kila siku baba ni kubadilisha
wanawake kama kanga au magauni??? it is too
much fo them.
Kipindi hicho hizo picha zilisambaa kupitia emails, kwenye blogs na humu JF zilikuwa zinadhibitiwa, kama umeona kuna members kadhaa wanauliza kwa nini thread za kumponda Mengi zinafutwa?
Ndiyo hivyo mkuu.