Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Kabla au baada ya Miss Universe? Maana huyo Manzi alikuwa chini ya shangazi MS na sitaki kuamini kama na yeye alikuwa akishiriki hiyo biashara kichaa, japo kwa mjini hapa kila kitu kinawezekana!

Sidhani kama alishiriki kwenye hiyo business, mara ya kwanza kumwona FM macho kwa macho walikuwa pamoja.

Nakumbuka walitukuta Jackies, kuna kipindi Maisha Club iliungua, nikawa mara kadhaa naenda Jackies na Didis na washkaji tuliokuwa tunakuwa na Maisha.

Walitukuta hapo, hawakukaa sana wakaondoka. Nikaja kuwakuta Diamond kulikuwa na exhibition sikumbuki ya kitu gani.
 
Afadhali! Maana mji huu ulichafuka sana zamani. Thanks God hakukuwa na mitandao hii lasivyo pasingetosha!

Nafurahi kama yupo clean.
 
Wataje Mkuu kama wao wanavyofukua makaburi
Hawezi kuwataja kwa sababu hawapo. Kasikia mmoja tu basi anasema wote.

Na hata huyo mmoja ndiye aliweka wazi hisia zake (of which siyo kosa) lakini akaishia kudhalilishwa humu. Nilimuonea huruma sana.

Sishauri huo mjadala kuendelezwa hapa!
 
Hawa wenye majina ni pesa 2, nilofanikiwa kmkaza m1 Hawa ni after money..
Hawezi kuwataja kwa sababu hawapo. Kasikia mmoja tu basi anasema wote.

Na hata huyo mmoja ndiye aliweka wazi hisia zake (of which siyo kosa) lakini akaishia kudhalilishwa humu. Nilimuonea huruma sana.

Sishauri huo mjadala kuendelezwa hapa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka uliyoweka hapo juu nakumbuka Bss ya madam ndio ilikuwa inaanza akawa anafanyia Itv inamaana kipindi hiyo alikuwa bado hajawa na ukaribu na madam?nilijuwa miaka hiyo ndio walikuwa karibu ndio maana akapata shavu la kipindi chake kurushwa pale.

Hizo picha nilizipata baada ya kuanza kazi sehemu fulani, kukawa na zile emails tunatumiana zenye watu wengi, ikitoka kwa huyu amecoment hivi, mwingine anacoment anatuma, inakuwa kama thread.

Sasa sina uhakika kama tukio lilikuwa exactly la kipindi kipi, ila nadhani ni miaka hiyo. BSS imeanza 2006/2007.
 
Attachments

  • Screenshot_20190514_200108.png
    Screenshot_20190514_200108.png
    120.5 KB · Views: 51
Kumbe ni Mtanzania mwenzetu. Mimi nkajua ni mtu wa nje kwa jinsi mnavyoshupaza shingo kumuandama.
Makonda, Gwajima nao ni watanzania ila ukifanya jambo la hovyo lazima watu wazungumze, Trumph, Bashir, Museven sio raia lakini nao tunawaandama pia kwa kuwa some times wana ya hovyo..
 
Back
Top Bottom