Uchaguzi 2020 DKT. Magufuli: Sasa ni wakati wa kujali maslahi ya Wafanyakazi

Wakati mwingine usiongee vitu ambavyo huna ushahidi navyo.

Ushahidi upi unaoutaka wewe wa zaidi? Wakati uko mpaka ambao huwezi kuweka hapa jF. Labda timu hila jua 2015 inflation ilikuwa 5.58% leo sasa hivi ni 3.

.1%. You dont need to be rocket scientist. Hata mngwini anajua hili.
 
Wakuu poleni na kazi. Poleni na hekaheka za uchaguzi, huku CCM, kule CHADEMA, pale ACT Wazalendo na wengineo wengi kama Lipumba n.k.

Pesa pesa pesa! Mshahara Mshahara Mshahara! Ni topic nzito na zenye kelele sana kwa wafanyakazi hasa watumishi wa umma. Siku zote hulalamika hautoshi, mara mdogo, mara hawajapandishwa madaraja na mengineyo mengi.

Kuna mdau wa uhakika ananitonya kuwa , watumishi wa Serikali wataenda kusimamia na pia kupiga kura wakiwa wametuna kwenye wallet zao. Mshahara mnono unakuja siku mbili hizi sijazo.

Mshahara utapanda, madaraja yataongezwa na malimbilizo yatadumbukizwa kwenye accounts zao za mishahara.

Wakae chonjo.

Asante Mh. Rais.
 
Yanaweza semwa meeengikuhusu nyongeza ya mishahara aliyoahidi rais kwa kifupi ndg zangu bora aondoe kodi kiasi flani.

Kuongeza mshahara kuna madhara makubwa, ielewekekwamba mengi huibuka mshahara ukiongezwa. Ni mh apunguze kodi ifike kias kiddo ni bora Mara 1000.
Hoja yako haina uhalisia, ongezeko la mishahara ya wafanyakazi lina mchango mdogo kwenye mfumuko wa bei.
 
WALE WATU WA KUPINGA KILA KITU TUSEME NI WAKATI SAHIHI SASA WA KUPONGEZA YALE YOTE AMBBAYO WAPINZANI WALIKUA WAKIHUBIRI IWE BUNGENI AMA KATIKA MIKUTANO YA HADHARA, KAMA TULIVYOONA RAIS MAGUFULI ALIVYOWATUMIKIA WATANZANIA WALIOMCHAGUA. HII IMEFANYA WATANZANIA TULIOWENGI TUAMINI KILE ANACHOKIONGEA NA KUAHIDI KUTEKELEZA MBELE ZA UMMA.

AMEKUA AKISISITIZA KUWA MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU LAKINI MIMI NIONGEZE PIA NI MPENZI WA WATU.
#CHAGUAMAGUFULI
#MAGUFULI
#MAGUFULI
#MAGUFULI
#MAGUFULI
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom