Anacheza na Psychology ya Watanzania.Kama Urais mateso achia sasa hivi, pia umeshachokwa na wengi
Hizi ni kauli za madikiteita wote!
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM amesisitiza kuwa atastaafu rasmi Urais na kamwe hataongeza hata siku moja ifikapo 2025.
Kauli hii inaondoa kiwingu kilichokuwepo kuwa upo uwezekano wa kubadilishwa katiba ili aendelee kudumu kama walivyo marais wengi barani Afrika.
Tanzania imekuwa na utamaduni wa marais kuachia ngazi kila baada ya miaka 10 ya kuhudumu Ikulu.
My Take: Pamoja na kufanya Mengi bado Rais Magufuli ataiheshimu katiba na utamaduni wa nchi yetu.
Yeye si ni Jiwe? Mbona Sasa anajitetea sana

Mpango bado upo palepale akichaguliwa awamu hii ndio watabadili katiba na kuondoa ukomo wa uraisi na hapo ndio mvua kamili ya udikteta itaanza kunyesha😎😎😎Kisaikolojia ni kwamba alikuwa na mpango wa kuongeza ila watu wameshtukia huo mpango sasa inabidi tu akatae kwenye hadhara
Anajitetea kwamba nini?Yeye si ni Jiwe? Mbona Sasa anajitetea sana
Siamini maneno hayo hata kidogo, tafadhali wakati wa kumpumzisha ndio sasa au basi.
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM amesisitiza kuwa atastaafu rasmi Urais na kamwe hataongeza hata siku moja ifikapo 2025.
Kauli hii inaondoa kiwingu kilichokuwepo kuwa upo uwezekano wa kubadilishwa katiba ili aendelee kudumu kama walivyo marais wengi barani Afrika.
Tanzania imekuwa na utamaduni wa marais kuachia ngazi kila baada ya miaka 10 ya kuhudumu Ikulu.
My Take: Pamoja na kufanya Mengi bado Rais Magufuli ataiheshimu katiba na utamaduni wa nchi yetu.
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM amesisitiza kuwa atastaafu rasmi Urais na kamwe hataongeza hata siku moja ifikapo 2025.
Kauli hii inaondoa kiwingu kilichokuwepo kuwa upo uwezekano wa kubadilishwa katiba ili aendelee kudumu kama walivyo marais wengi barani Afrika.
Tanzania imekuwa na utamaduni wa marais kuachia ngazi kila baada ya miaka 10 ya kuhudumu Ikulu.
My Take: Pamoja na kufanya Mengi bado Rais Magufuli ataiheshimu katiba na utamaduni wa nchi yetu.
Huyu atastaafishwa na umma octoba 28 , hiyo 2025 ataionea wapi ? 1 term president
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM amesisitiza kuwa atastaafu rasmi Urais na kamwe hataongeza hata siku moja ifikapo 2025.
Kauli hii inaondoa kiwingu kilichokuwepo kuwa upo uwezekano wa kubadilishwa katiba ili aendelee kudumu kama walivyo marais wengi barani Afrika.
Tanzania imekuwa na utamaduni wa marais kuachia ngazi kila baada ya miaka 10 ya kuhudumu Ikulu.
My Take: Pamoja na kufanya Mengi bado Rais Magufuli ataiheshimu katiba na utamaduni wa nchi yetu.
Punguani zaidi ni yule anayeamini mtu asiyeaminika anaweza kuendelea kuwa RaisNi punguani pekee anayeamini JPM atashindwa
Hata wakiwa hatched wanaweza kuchomwa moto in btn kama ilivyotokea Namanga mpakani kipindi flani so long walikuwa hatched kimagumashi kwa formula ya Lubuva. Kabudi keshatangaza kuruhusiwa kwa nchi 16 kutoka jumuiya ya kimataifa kumulika uchaguzi huu kwa karibu.Swahiba don’t count your chickens before they are hatched.
Huwa sifatilii Sana siasa bro, itabidi nijitahidiHuwa hufuatilii habari?