Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nitastaafu Urais mwaka 2025 na kupisha wengine

Kama Urais mateso achia sasa hivi, pia umeshachokwa na wengi
Anacheza na Psychology ya Watanzania.

Kwanza alidai alikuwa anabeep, wakampigia (YUPO). Pili akadai kuwa hakuna mtu atakayeweza kuyaendeleza au kumalizia aliyoyanza (YUPO), akadai Kazi ni mgumu na ya mateso, amejitolea (YUPO), Sasa anadai akimaliza miaka 5 hataongeza hata siku moja ... kama ni kweli CCM wamkumbushe kuwa miaka 5 inakwisha tarehe 28/10/2020. Sasa kampeni anapiga za nini? Angesema miaka 10 ikiisha haongezi hata siku moja tungemuelewa vizuri.....!!
 
Huu ndio ukweli pekee aliowahi kusema - kazi yake ni ngumu kwa sababu inaongozwa na roho mbaya!!

Akishinda ni kweli aende na sitarajii bwawa la umeme kuwa limekamilika wa SGR ya Rwanda. Miradi hii ni mikubwa kuliko uwezo wetu - tulihitaji mradi mmoja kwanza ili fedha nyingine zitumike kwenye kukuza uchumi!
 
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM amesisitiza kuwa atastaafu rasmi Urais na kamwe hataongeza hata siku moja ifikapo 2025.

Kauli hii inaondoa kiwingu kilichokuwepo kuwa upo uwezekano wa kubadilishwa katiba ili aendelee kudumu kama walivyo marais wengi barani Afrika.

Tanzania imekuwa na utamaduni wa marais kuachia ngazi kila baada ya miaka 10 ya kuhudumu Ikulu.

My Take: Pamoja na kufanya Mengi bado Rais Magufuli ataiheshimu katiba na utamaduni wa nchi yetu.
Hizi ni kauli za madikiteita wote!
 
Yeye si ni Jiwe? Mbona Sasa anajitetea sana
 
Kisaikolojia ni kwamba alikuwa na mpango wa kuongeza ila watu wameshtukia huo mpango sasa inabidi tu akatae kwenye hadhara
Mpango bado upo palepale akichaguliwa awamu hii ndio watabadili katiba na kuondoa ukomo wa uraisi na hapo ndio mvua kamili ya udikteta itaanza kunyesha😎😎😎
 
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM amesisitiza kuwa atastaafu rasmi Urais na kamwe hataongeza hata siku moja ifikapo 2025.

Kauli hii inaondoa kiwingu kilichokuwepo kuwa upo uwezekano wa kubadilishwa katiba ili aendelee kudumu kama walivyo marais wengi barani Afrika.

Tanzania imekuwa na utamaduni wa marais kuachia ngazi kila baada ya miaka 10 ya kuhudumu Ikulu.

My Take: Pamoja na kufanya Mengi bado Rais Magufuli ataiheshimu katiba na utamaduni wa nchi yetu.
Siamini maneno hayo hata kidogo, tafadhali wakati wa kumpumzisha ndio sasa au basi.
 
Ni sawa na kusema.. ikifika saa 2 usiku itakua giza wakati hakuna kinacho weza zuia.

Nani amekwambia utaendelea? Kwa mampaka ya nani.. au unataka tuu huruma.

Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM amesisitiza kuwa atastaafu rasmi Urais na kamwe hataongeza hata siku moja ifikapo 2025.

Kauli hii inaondoa kiwingu kilichokuwepo kuwa upo uwezekano wa kubadilishwa katiba ili aendelee kudumu kama walivyo marais wengi barani Afrika.

Tanzania imekuwa na utamaduni wa marais kuachia ngazi kila baada ya miaka 10 ya kuhudumu Ikulu.

My Take: Pamoja na kufanya Mengi bado Rais Magufuli ataiheshimu katiba na utamaduni wa nchi yetu.
 
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM amesisitiza kuwa atastaafu rasmi Urais na kamwe hataongeza hata siku moja ifikapo 2025.

Kauli hii inaondoa kiwingu kilichokuwepo kuwa upo uwezekano wa kubadilishwa katiba ili aendelee kudumu kama walivyo marais wengi barani Afrika.

Tanzania imekuwa na utamaduni wa marais kuachia ngazi kila baada ya miaka 10 ya kuhudumu Ikulu.

My Take: Pamoja na kufanya Mengi bado Rais Magufuli ataiheshimu katiba na utamaduni wa nchi yetu.
Huyu atastaafishwa na umma octoba 28 , hiyo 2025 ataionea wapi ? 1 term president
 
Swahiba don’t count your chickens before they are hatched.
Hata wakiwa hatched wanaweza kuchomwa moto in btn kama ilivyotokea Namanga mpakani kipindi flani so long walikuwa hatched kimagumashi kwa formula ya Lubuva. Kabudi keshatangaza kuruhusiwa kwa nchi 16 kutoka jumuiya ya kimataifa kumulika uchaguzi huu kwa karibu.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom