EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,525
2025??????? thubutuuuu tunakustaafisha kwa manufaa ya UMMA. Tarehe28.10.2020
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM amesisitiza kuwa atastaafu rasmi Urais na kamwe hataongeza hata siku moja ifikapo 2025.
Kauli hii inaondoa kiwingu kilichokuwepo kuwa upo uwezekano wa kubadilishwa katiba ili aendelee kudumu kama walivyo marais wengi barani Afrika.
Tanzania imekuwa na utamaduni wa marais kuachia ngazi kila baada ya miaka 10 ya kuhudumu Ikulu.
My Take: Pamoja na kufanya Mengi bado Rais Magufuli ataiheshimu katiba na utamaduni wa nchi yetu.
Ukapumzike Chato Urais kazi nzito na wewe ushazeeka huiwezi tena