Dkt. Magufuli mwenye huruma na upendo

Mimi ni mtumishi wa umma, ofisi yetu tupo kama 40 hivi, kura za Magufuli hazizidi 5.
Ninaishi Uswahilini nako vijana hawamtaki huyu Magufuli.
Wewe vijana gani wanaokuambia wanamtaka Magufuli?
Au ni wana UV CCM wenzako?
Hapana kaka yangu nimeongea na vijana Wengi Wanasema watapigia kura Rais Magufuli
 
Vijana wa rika zote wanamkubali sana Magufuli
Kila ukimuuliza kijana anasema atapigia Magufuli kura
Mimi ni mtumishi wa umma, ofisi yetu tupo kama 40 hivi, kura za Magufuli hazizidi 5.
Ninaishi Uswahilini nako vijana hawamtaki huyu Magufuli.
Wewe vijana gani wanaokuambia wanamtaka Magufuli?
Au ni wana UV CCM wenzako?
 
Hebu tuondolee UPUUZI WAKO!

20201005_151047.jpg


Sio kweli kaka yangu, mmeamua kutunga uongo sio vizuri
 
MAAFA ALIYOWAFANYIA WATANZANIA
1. 16/38 risasi, sep/7
2. Ben Saanane
3. Azory
4. Mawazo
5. Mkiru...over 1,000 people dead
6. Uncountable Coco beach sandarusi maitii
7. and many any other atrocities due to be identified when time is ripe!

...Orodha inaendelea

8. Offisi ya Fatma Karume kupigwa mabomu
9. Akwilina Aquilin
10. Makonda kuvamia kituo za Clouds
11. Ubambikizaji wa kesi
12. Kuwanyima maendeleo wasiochagua CCM
13. Dotto James
14. Mayanga Construction
15. Utumiaji wa watumishi na mali za serikali kwenye kampeni za CCM
16. Msafara wa kampeni wa Lissu kushambuliwa na polisi
17. Msafara wa kampeni wa Lissu kushambuliwa na wanachama wa CCM
Dah!!!!,very sad
 
Back
Top Bottom