Dkt. Magufuli maadui wa nje na ndani wamemkubali, amebaki na mahasimu wa ndani, anaweza kukaa meza moja wakayamaliza

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana Jf,

Ukipiga chepuo kwa jinsi ulimwengu unavyomkubali Dr. Magufuli kwa kusimamia raslimali za taifa mpaka kutuwezesha kufika uchumi was kati, hili nitosha kabisa kujiaminisha kuwa maadui wa nje wshuggindwa kupigana naye kwenye vita vya kiuchumi sasa wameamua kuungana naye kwa kufuata mashart ya maridhiano aliyojiwekea. Hakika Dr. Ni jiwe kwelikweli. Kafanya mengi wala so yakutaja. Watangulizi waliwaogoka kufikia kubebeshwa siraha. Kupitia Mikopo isiyolipika, ubinafsishwaji, ulasimishaji, na mikataba feki

Katika Tanzania yetu Dr. Magufuli amebaki na mahasimu wa ndani, na hawa wako pande zote upinzani na chama tawala. Katika upinzani wengi wao wanacheza na karata ya masilahi tu, wengine nia yao in kukiondoa chama madarakani hats kama hawana sababu ya msingi ya kuwaletea wananchi maendeleo. Mahasimu was chama tawala hawa nao wanapande mbili ni wale walioumizwa na kukatwa mirija ya kinyonyaji ambao walitumia Mali ya CCM kujinufaisha,wengine ni wa CCM waliyoifanya nchi iyumbe kiuchumi hawataki kuona mafanikio kwani in aibu kwao. Hawa wanataka kila shughuli ikwame.

Yote kwa yote wapinzani ambao wanachukuliwa kama mahasimu wakuu wanaoonekana ni rahisi sana kuunganà nao kuliko mahasimu was ndani ya CCM like kundi liliolokuwa linajinasibu kuwa twende na Member hili kundi ni baya sana na Luna sura mbili ya kutengeneza makundi ndani ya chama. Ule ujanja wa kutengeneza formula moja ya kura ya maoni ilikuwa pigo kwao. Hata kama membe asingekubalika walikuwa wanataka kumwibua mwingine. Lengo lao ni kumpunguza makali mwenyekiti kuonekana hakubaliki.

Makundi ya mahasimu yanaweza kuisha baada ya uchaguzi ikiwa Dr. Atabadilika na kuwa msikivu zaidi . kwa kuwa wapinzani wanaweza kumalizwa kihoja kama kipimo cha maendeleo kitakuwa kikubwa kuliko maneno na maari wanapokosoa. Wale wahasimu ndani ya chama hawa wanaweza kunyamazishwa kwa kuwafanyia ushushu was kutosha na kuambiwa madhambi yao ambayo yakiingizwa kuwenye utaratibu was kimahakama wanaweza kufungwa. Wengi wao wana makondokondo ya uharibifu mwingi.

Chama walikifanya chao . Wengi Dr. Anawajuabsafari hii angehakikisha hawarudi bungeni kaisa kwani wanaweza kuendelea kupata vijihera vya kukutana kufanya figisu ingawaje kwa sasa Dr. Awezi kupoteza na akishanshida uchaguzi huu ana cha kupoteza.

Mahasimu hawa wanashawishi wafanyakazi wa serikali kuichukia kupita kiasi.
 
Mkuu mgt software Tanzania hii niishiyo Mimi najua tuna Rais aitwae Magufuli je, huyu Rais Magufuri unayemjadili hapa ni wa nchi gani / ipi labda?
 
Ilo unajua wewe na washamba wezio sasa habar ya mjini, vijijini na kimataifa ni lissu mwamba wa singida na Rafik yake kwenye siasa membe mwamba wa kusini. Mama eeeh mwaka huu mtaita maji mmaa. Lissu huyo anatia maguuu,mwamba wa kusini kutangaza nia tu mikorosho watu wanalipwa. Maaaaa maaaaa hapa lissu huku membe pale zitto kule mbowe mamaaa maaaaa huuu mwaka ccm na mwenyekiti wao watafute chochoo mapema ha ha ha ha ha ha ha
Ndio maana nikasema mahasimubwa upinzani wanaweza kukaa naobwakaongea yakaisha hawawasioonekana ndio wabaya zaidi kwani wataibuka kipindi cha uchaguzi tu na watabaki na chuki mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom