Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Jina Langu Lipo Namba Moja, Usihangaike Kuangalia Kwingine

Hahahh
Kushoto kulia, kushoto kulia
Wapo wanaopinga jitihada zako
Wanaona Aibu wanaogopa, wanaogopa

Sina Chama Lakini Nampa MAGUFULI
Siwezi kumpa Mtu kula akaweke rehani Madini Yetu
Safi kabisa..mpe mtu atakayehakikisha yale MAKINIKIA yaliyopo bandarini hayasafirishwi nje ya nchi yanasafishwa kwenye smelter zetu hapa nchini.
 
Hahahh
Kushoto kulia, kushoto kulia
Wapo wanaopinga jitihada zako
Wanaona Aibu wanaogopa, wanaogopa

Sina Chama Lakini Nampa MAGUFULI
Siwezi kumpa Mtu kula akaweke rehani Madini Yetu
Hayo ni mawazo ya watu wasio na elimu
 
Mimi hata sioni tatizo katika hili... Hivi kwani kuna mtanzania hajui kusoma au kuandika? au kuna mtanzania hamjui Lissu? kwani nikichukua karatasi hiyo ya kupigia kura nikashuka hadi namba ya mwisho nikaweka tick shida ipo wapi yaani?
 
Wanaita nyuma geuka wa kwanza ndio wa mwisho na wa mwisho ndio wa kwanza ! # ni yeye2020# [√] usihangaike
 
Acha kutetea ufara. CHADEMA waliomba kuteuliwa wa mwisho? Kanuni zote za usawa duniani zinatumia alphabet. Hata nchi za Africa zikiandikwa inaanza Algeria na Angola halafu wanamalizi Zambia na Zimbabwe. Ndivyo kanuni inavyotaka hivyo.
Haya nayo ni mabadiliko. Ndio maana fedha nyingi za dunia huwekezwa kwenye tafiti, ili zitafutwe njia rahisi, au nzuri zaidi. Unaweza ukakuta baada yetu, nchi kibao zinatumia mfumo huu.
 
Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema jina lake na la Mama Samia lipo juu katika karatasi za kupigia kura hivyo wananchi wasihangaike kuangalia kwingine

Amesema, "Wewe angalia juu utalikuta jina la John Pombe Joseph Magufuli, utalikuta la Mama Samia Suhulu, utakuta na box la kuweka 'tick'. Wewe weka 'tick' kunja karatasi lako, dumbukiza kwenye box nenda ukampumzike nyumbani"

Katika mkutano wa kampeni uliofanyika Korogwe Mkoani Tanga, Dkt. Magufuli amewaambia wananchi wasihangaike kuangalia kwengine kwasababu wale hawawahusu

Amewaelekza wananchi kuwa, wakati wa Uchaguzi ni wakati wa kuamua kama wanataka maendeleo au 'blah blah'
 
Hahahh
Kushoto kulia, kushoto kulia
Wapo wanaopinga jitihada zako
Wanaona Aibu wanaogopa, wanaogopa

Sina Chama Lakini Nampa MAGUFULI
Siwezi kumpa Mtu kula akaweke rehani Madini Yetu
Ni wapi aliposema ataweka madini rehani acha uongo
 
Uliye print karatasi za kura njoo utujibu chaguzi zote vyama hupangwa kwa alphabet mwaka huu imekuwaje
 
Mi nilisikia kuwa hii karatasi ni ya mfano tu kumbe ndo yenyewe original ipo hvyohvyo
Hawa nec wazinguaji sana
 
Back
Top Bottom