Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Bunda walijichanganya wenyewe, Utawapelekeaje Barabara watu wanaokutukana?

Huwezi kumchezea Mungu alafu akakuacha. Huyu alikuwa muuaji na mtesaji aliyejificha kwenye kivuko cha kumtaja taja Mungu ili awachote wapumbavu. Mungu amefanya yake tayari.
Kwa kauli hizi za kibaguzi ndo zilifanya nisimkubali JPM kabisa, kujenga barabara, flyovers, etc notwithstanding!
 
Back
Top Bottom