Reykijaviki
JF-Expert Member
- Aug 25, 2020
- 426
- 652
Atulie tumnyoe,Asaiv kaanza kutuma sms za promotion za ccm kwenye namba za watu kama zile za biko sport na 3 mzuka bila ridhaa zao..
.....Mzee anatapatapa sana, Si alidai hapangiwi na mitandaoni alisemaga hakuna wapiga kura ni watu wa porojo tu, lakini asaiv Twitter na Local network providers wamekua muhimu kwake